TANZIA Pwani: Polisi wawili wagongwa kwa mkupuo na kufariki

TANZIA Pwani: Polisi wawili wagongwa kwa mkupuo na kufariki

Aisee nimeona hii habari kwenye Social Media zingine...Wananchi wanafuarahia sanaaa...
 
"Kifo ni kifo tu", mwisho wa kunukuu...
 
Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani.

Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali, gari hilo namba T 804 ERM lilikimbia, na baada ya msako kufanyika lilikutwa likiwa limefichwa maeneo ya Kwa Mfipa.

MY TAKE

Wameanza kupungua.. Au tuanzishe thread ya vifo vya mapolisi?
1787767325494.jpg
1787767317737.jpg
1787752931838.jpg
 
Vijana wadogo kabisa, kabinti bado maini mabichi asee!

Pole kwa walioguswa na msiba huu.
 
Back
Top Bottom