Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Tunahitaji kujua dhima ya kwa hukumu la kutungua vichwa vya vijana kama vibuyu ilikuwaje?ili angalao tiseme r.i.p au go to hell🤔Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye eneo la Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani.
Jeshi la Polisi mkoani Pwani limesema baada ya ajali, gari hilo namba T 804 ERM lilikimbia, na baada ya msako kufanyika lilikutwa likiwa limefichwa maeneo ya Kwa Mfipa.
MY TAKE
Wameanza kupungua.. Au tuanzishe thread ya vifo vya mapolisi?