Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji

Mambo ya kujichukulia sheria mkononi. Ngoja waonje joto ya jiwe
 
Wanatoa wapi uthubutu wa kupiga wateja? Au OYA ni ya mzito?
 
Shida yote hiyo inasababishwa na regurator BOT kutofanya vyema ktk usimamizi wa riba zisizo rafiki zinazosababisha kuwakausha damu wakopaji hadi wanashindwa kulipa.

Haiwezekani mkopo wa wiki moja tu riba iwe karibia 70%,lazima tu mkopo usumbue.

BOT ni tatizo
 
Na ndio lengo la serikali ya CHURA kwa watanganyika. BOT haina meno zidi ya hz kampuni zenye asili ya znz. Na bado mpk muishe watanganyika.Ukijua jina la mmiliki wa kampuni hii na watu wake wa karibu lazima udate tu.
All the best
Ulicho andika ni ukweli mtupu kuhusu wazenji na rsia feki wanao ongoza serikali kwa sasa kuwa ndiyo wapo nyuma ya hayo mamikopo
 
Kwenye maisha kutana Na kesi zote lakini sio za mauwaji, hii kesi inatesa , maamuzi yake mpaka mahakam kuu, dah....yaani unasota jela mpaka nguo zinakuishia unakuwa kama mwehu, unaugua ugonjwa wa ngozi wafungwa huuita "Pelagius" unababuka kama ngozi ya mamba, .......
 
Hii kesi mabosi zao watajitenga na kuwasukumia kwenye jivu lenye moto.
Kuna ugumu gani serikali kufukuza hizi kampuni za kuhujumu uchumi?
 
Wanawashikilia ya nini wakati KIFO NI KIFO TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…