Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

Pyramids FC yawa Timu ya kwanza kuingia hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Africa 2023

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Miamba ya kutokea Misri "Pyramids FC" wameingua hatua ya makundi kibabe kwa kuifunga timu ya Rwanda "APR FC" goli 6 kwa moja 1 na kufanya utofauti wa magoli kuachana kwa goli 5. Ambapo goli la APR FC lilikuwa la Penalti na magoli ya Pyramids yalikuwa ya kusakuana.

Ikumbukwe miamba hiyo ya Farao ilikipiga tarehe 17 Septemba 2023 pale Rwanda na timu ya Wanyaru "APR FC", Pyramids ikiwa ugenini ambapo Wanyaru "APR FC" walishindwa kutamba nyumbani na kulazimisha sare ya 0 kwa 0.

17/9: APR FC 0 - 0 Pyramids FC

29/9: Pyramids 6 - 1 APR FC
 
Back
Top Bottom