Q&A: Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?

Q&A: Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Huu uzi ni wa Q&A
1. Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?
( Kitu au vitu gani vya pekee vipo ndani ya ndoa tu ? )

Note: Huu uzi utatoa picha halisi ya kwa nini watu wana oa na kuoana je, ni kwa sababu maalumu au mkumbo, kasumba, mila na desturi au mfumo wa maisha binafsi ama wa jamii?!.
 
Karibuni nyote mlio oa na kuolewa na wale wote mlio katika michakato hiyo pia wasimbe nanyi milango ipo wazi(mnakaribishwa)
b30c258caaa4b651814fd1ffdbc512f0.jpg
 
Kuoa ni kwamba! Kuna umri ukifika unajihisi unapaswa kuwa na majukumu mapya ambayo yanahitaji mwenza!! Hapo ndipo unaoa au kuolewa!!

Majukumu hayo ni changamoto mpya unazokumbana nazo ambazo ukiwa na mwenzio unaona kabisa utaweza kuzitatua kwa wepesi!
 
Ukiwa peke yako hautaweza kuzitatua ?
 
Back
Top Bottom