Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Dini(christianity and Islam) zinatukumbusha umuhimu wa kuishi maisha ya ndoa mda ukiwa umefika(for only who believe)
Society, maisha ya ndoa ni mtazamo ambao jamii imeishi nao toka kale kwamba mwamaume au mwanamke akifika mda flani itambidi apate mwenzake na hii kwa ajiri ya heshima,kuendeleza misingi bora ya jamii husika na kujenga familia,koo,mpaka taifa imara.
Nature, kama kuna mwanamke basi yupo mwanaume.Mwanamke ataenda kwa mwanaume(not true in every society,it might be vice versa) na watafanya yale ambayo hufanyika na maisha yataendelea.
Mwisho ndoa ni ukamilisho wa mwanadamu katika maisha yake hapa duniani.It might not be a command in religion but it is emphasized and the society does agree with what religion tells about marriage.