Q&A: Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?

Q&A: Kwa nini watu wana oa na kuolewa ?

Nature( How ? )

Dini ni maamrisho sio ?
Mahitaji ya kiasili ya binadamu Kuna kipengele anahitaji mwenza Ili waweze kuwa pamoja,pia mapenzi yapo kati yetu yaani hakuna kiumbe hajawah pata hisia za kimapenzi hivo uhalali wa hisia zako na mambo yaende sawa unalazimika uoe Au uolewe

Dini Kwa upandewa dini yangu kuoa ni nusu ya dini pia kutimiza amri ya kukataa hambi zinaa na pia kuzaa kuongeza familia
 
Kwenye dini nimekuelewa ila kwenye mahitaji ya kiasili kuna ukakasi mkubwa
 
Back
Top Bottom