Nikuulize wewe, nahisi ulijibu kitu hukuelewa!!
Umesema majukumu yote yanayoweza kukufanya uoe unayaweza!!
Nikakuuliza swali "utaweza kuzaa??" Ukasema ndiyo??
Kawaida, binadamu anapowaza kuwa na majukumu mengine baada ya ujana, ndipo anapohitaji mwenza!! Majukumu hayo ni pamoja na kuhitaji familia, maana yake ni kuwa na mtu wa pili watakayeshirikiana nae kuzaa watoto"
Vijana wengi mnahisi hili jukumu mnaliweza sababu katika ujana unakuta ushazalisha wanawake kadhaa na wanalea watoto wenyewe. Hiyo si sawa, unapaswa uoe uweke mke ndani muanzishe familia iliyo halali kabisa!!