Q Boy Msafi adaiwa kumtia mimba mwanafunzi

Baba mkwe punguza ukali
 
Kweli mkuu mtu anakuja na point nyepesi eti mtoto akiuliza baba
 
Hivi unaanzaje kutembea na dent usawa huu...jela hawaogopi
Hao madent unawajua unawasikia...hao form 3 mpaka form 6 ndio balaa mitaani skull zinavyofungwa.
unajua hawa kina giggy money wangekuwa skull ni watoto wa form 5 au six...sasa wewe mwanaume rijali kama alberto msando unamuachaje kwa mfano denti giggy?
 
Q boy ni nan hadi masuala yake waziri mkuu aingilie?
 
Uhakikishe pia binti zako unawapa ruhusu kutoka nyumbani na wanarudi muda maalum uliowapangia, pia uhakikishe wanavaa kimaadili na ni watu wa ibada , pia uhakikishe kuwa marafiki wa binti zako ni wale wanaofanana na tabia unazozitaka kwa binti zako,
Vinginevyo utakosa hata wa kumshtaki na kukuzalia watakuzalia,
 
Kwan huyo mwanafunz alibakwa c alitaka mwenywe

Q biy ww sema kabsa humjui na humtambui
 
Kwan huyo mwanafunz alibakwa c alitaka mwenywe

Q biy ww sema kabsa humjui na humtambui

Mh hivi wewe unamjua Magufuli au unamsikia , kamuulize Senge Sechi na Manji watakueleza Who is Magufuli in zisi kantri
 
Huyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Hilo nalo jambo ingawa si scapegoat ya kuvinjari na watoto wa shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…