cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Uhukumiwe tu bila kuthibitisha kama nikweli?Siyo swala la kusikia kumbuka kuna kuthibitisha tuhuma,je binti akisema mimba ni yako baba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhukumiwe tu bila kuthibitisha kama nikweli?Siyo swala la kusikia kumbuka kuna kuthibitisha tuhuma,je binti akisema mimba ni yako baba?
Kuna siku za kuwaona wafungwa atampelekaHuyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Baba mkwe punguza ukaliMkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo
Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Kweli mkuu mtu anakuja na point nyepesi eti mtoto akiuliza babaMkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo
Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Credit...kwa wisdomHasira ni hasara Kwan Q Boy alimbaka binti? Hivi ndivyo tuvyoongeza watoto wa mitaani na baba zao wako jela.
Watamu aisee ,sema wezangu wanasahau condomHivi unaanzaje kutembea na dent usawa huu...jela hawaogopi
Ni kwa ajili ya kuikana tokea awaliHuyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?
Hao madent unawajua unawasikia...hao form 3 mpaka form 6 ndio balaa mitaani skull zinavyofungwa.Hivi unaanzaje kutembea na dent usawa huu...jela hawaogopi
Uhakikishe pia binti zako unawapa ruhusu kutoka nyumbani na wanarudi muda maalum uliowapangia, pia uhakikishe wanavaa kimaadili na ni watu wa ibada , pia uhakikishe kuwa marafiki wa binti zako ni wale wanaofanana na tabia unazozitaka kwa binti zako,Mkuu hata mimi nikisikia kuna kijana kaniharibia binti yangu aisee sitakuwa na msamaha kwa hilo
Na hii kitu huwa nawaambia vijana mara kwa mara nikiwa napiga nao stori ,huwa nawaambia kabisa ,nacheka na nyinyi vijana wangu lakini siku nikisikia mtu kaniharibia binti yangu kwa kweli sitakuwa na msamaha kwa hilo
Wanafunzi wana kiherehere,Na hawa vijana kutongoza wanafunzi ni kukwepa kuhonga au
Alikuwa WCB kinyozi na degnizer wa daimondQ boy ndio nani?
Sheria lazima imbane,mwanafunzi hana uwezo wa kukubali ila amerubuniwa
Kwan huyo mwanafunz alibakwa c alitaka mwenywe
Q biy ww sema kabsa humjui na humtambui
Swahili TimesVerified account @swahilitimes 43m43 minutes agoHilo nalo jambo ingawa si scapegoat ya kuvinjari na watoto wa shuleHuyu mama atajisikiaje mjukuu atakapouliza baba yangu yuko wapi na kuambiwa alifungwa maisha kwasababu ya mimba yako?