[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna kumsaidia bana akacheze tatu mzuka asituzingue. Au asimame barabarani aimbe...am sure hatakosa wakumchangia mia mia[emoji848][emoji848][emoji848]Nitamfikiria, kwa kuwa nitakuwa nimepewa bure
Wasanii wasasa wanatakiwa wa jifunze, hamna msanii atakayekuwa on fire milele, hata kama upewe promo kila sekunde utashuka tu. Kipindi ambacho upo on peak ndio, kipindi cha
Saida bila boost la mtoto wa Tandale ktk nyimbo ya Salome tungemsahau. Ile nyimbo ndio iliyosababisha tumkumbuke Saida.Naona wa kisaikolojia pia analalamika anatoa music lakin hakuna anachopata. Akasema mbona Saida Karoli amefika hapa clouds na mmemsaidia na mm naomba nmisaidie B Dazen
Nani amsaidie sasa??,hana ndugu??..watu wote wakitoka hadharani na kusema shida zao ili wasaidiwe patakalika kweli??
hivi kumbe jf napo huwa kuna watu wenye shida?nilidhani ni mimi tu asee,maana humu kila mtu ni next levelApambane na hali..kila mtu ana shida zake
Mi nina shida zangu kibao, sina hata mia lkn nafurahi tu maisha yanasonga. Next level watakuwepohivi kumbe jf napo huwa kuna watu wenye shida?nilidhani ni mimi tu asee,maana humu kila mtu ni next level
Bila wcb akuna kitu na ukishirikisha wcb nyimbo inapigwa kawaidaQ-Chillah bado ana nafasi kubwa kimuziki. Inabidi asome soko linataka nini kwasasa na aendane nalo.
Pia ashirikishe vijana wanaotamba kwasasa kama Asley, Baraka Da Prince, Dogo Janja n.k.
Ila asiwashirikishe Vijana wa WCB. Hao wameishatengwa na Media hawatomfikisha popote.
Q jay aliokoka kabisa akawa mlokole au ni mwingineQ Jay.. daah 'huyu jamaa alivyotoka kwenye game iliniuma sana.
Cjui yuko wa Joslin?
Niambie Shida Zako Nikusaidie MremboMi nina shida zangu kibao, sina hata mia lkn nafurahi tu maisha yanasonga. Next level watakuwepo
HuweziNiambie Shida Zako Nikusaidie Mrembo
Usiamini Sana Mitandao, Wapo Wachovu Wenzio Kibao Humu, Na Next Level Tupo Pia [emoji2]hivi kumbe jf napo huwa kuna watu wenye shida?nilidhani ni mimi tu asee,maana humu kila mtu ni next level
Sawa [emoji6]Huwezi
Mwanaume yeyote akifika Dar kama hana akili ya kujitosheleza anakuwa Mwanaume wa Dar.
Ngoja akomae na hali yake.