Q Chillah anahitaji msaada gani?

Q Chillah anahitaji msaada gani?

[emoji848][emoji848][emoji848]Nitamfikiria, kwa kuwa nitakuwa nimepewa bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna kumsaidia bana akacheze tatu mzuka asituzingue. Au asimame barabarani aimbe...am sure hatakosa wakumchangia mia mia
 
Hawa wasanii nje ya video ni wana'Nzengo wazuri tu.
Ila wanajisahau wanajiona wanaishi ndani ya King'amuzi.
 
Naona wa kisaikolojia pia analalamika anatoa music lakin hakuna anachopata. Akasema mbona Saida Karoli amefika hapa clouds na mmemsaidia na mm naomba nmisaidie B Dazen
 
Wasanii wasasa wanatakiwa wa jifunze, hamna msanii atakayekuwa on fire milele, hata kama upewe promo kila sekunde utashuka tu. Kipindi ambacho upo on peak ndio, kipindi cha
Naona wa kisaikolojia pia analalamika anatoa music lakin hakuna anachopata. Akasema mbona Saida Karoli amefika hapa clouds na mmemsaidia na mm naomba nmisaidie B Dazen
Saida bila boost la mtoto wa Tandale ktk nyimbo ya Salome tungemsahau. Ile nyimbo ndio iliyosababisha tumkumbuke Saida.
 
hivi kumbe jf napo huwa kuna watu wenye shida?nilidhani ni mimi tu asee,maana humu kila mtu ni next level
Mi nina shida zangu kibao, sina hata mia lkn nafurahi tu maisha yanasonga. Next level watakuwepo
 
Q chief ni mzinguaji kwasababu ukiangalia uzungumzaji wake anataka kujiona yeye ni best vocal kwa upande wa wanaume tanzania wakati ukweli unabakia pale pale mziki umechange
Kuna watu wamekaa kwenye game pembeni baada ya kuona soko linawaaacha
Q chief ni mtu wa majivuno sana yaan anataka kujiona yeye ndio yeye wakati sio kweli
Q chief kama kutoka alitakiwa atoke na qs mhonda lakini mpaka bwana muhonda anaachana naye ni kwa sababu ya dharau zake
Kuja kulia lia mbele ya media ni upuuzi usio na maana yegote kwa jamii ya sasa watu kibao wameaacha gemu na hawakulia lia kama yeye
Wako wapi kina solothang ,dj yusufu mzee wa mbele kwa mbele, babuu wa kitaa,domokaya,mabaga fresh,luteni kalama
Akafie mbele mpuuzi huyu
 
Q-Chillah bado ana nafasi kubwa kimuziki. Inabidi asome soko linataka nini kwasasa na aendane nalo.
Pia ashirikishe vijana wanaotamba kwasasa kama Asley, Baraka Da Prince, Dogo Janja n.k.
Ila asiwashirikishe Vijana wa WCB. Hao wameishatengwa na Media hawatomfikisha popote.
Bila wcb akuna kitu na ukishirikisha wcb nyimbo inapigwa kawaida
 
Q-Chillah, T.I.D ni wasanii wakali sana ila wamekosa nidhamu tu, hata ukiwa na management ila ukakosa nidhamu kufanikiwa itakuwa ngumu sana, huwezi niambia Ali na Diamond ni wakali kuliko Chillah and T.I.D? ila utofauti uliopo kati yao ni nidhamu tu. Hakuna mtu mwenye pesa atawekeza pesa zake na muda wake kwa mtu ambaye hana nidhamu. NIDHAMU NDIO ILIOWAANGUSHA WASANII HAWA
 
Kwa hiyo leo kalia studio,,hebu nisimulieni vizuri. Kalia kwa nguvu kabisa?? Maskini weee
 
Hii kiki ya leo clouds nimeiheshimu. Mtu anakuja kutangaza kuacha mziki, anabembelezwa, anakubali, kisha kwa coincidence tu eti alikuja na ngoma mpya, na mentor/manager wake anasema tayari wana mipango mingi.
Sasa hapo alikuja kutangaza kuacha mziki kweli?
 
Back
Top Bottom