Qatar inawaponza waarabu wengine

Qatar inawaponza waarabu wengine

Rexwinton

Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
74
Reaction score
137
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk. Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Kwa hiyo wewe unasupport USHOGA?
 
Watu hawajavaa hizo bands kwenye suala la wahamiaji, hawajavaa kwenye suala la njaa na vita kila siku, ilipofika covid wakatupa chanjo zinazokaribia expire date lakini tumeshupaza shingo kwenye ishu za ushoga. Hivi hayo yanatusaidia nini sisi wa Africa? Ka ni suala la haki mbona kuna nchi wamekataza kuvaa mavazi yao na hakuna alieshupaza shingo kwamba sio haki? Hivi sisi waafrica tutaacha lini kupelekeshwa kwa vitu visivyo na tija? Ni njaa, maradhi au ni ujinga uliotujaa vichwani mwetu?
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk. Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Lisirudi tu, ila ushoga hawataukubali kamwe
 
Kwa hiyo wewe unasupport USHOGA?
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
 
Huweza kwenda kwa mtu na taratibu zako..lazima uheshimu taratibu za uliyemkuta...hilo la wao kutopewa tena uandaaji wala sio inshu sana,kikubwa ujumbe umefika!
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
M.S.E.N.G.E wewe
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Kwani nyie kwenu tz litakuja lini? Acha kushadadia mambo usiyoyaweza au wewe shoga?
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Mkuu kwako ushoga ni sahihi na inakuuma sana kupingwa? Au ndiyo wale wale
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Eric tafsiri yake ni kuwalawiti, we ushalawitiwa mara ngapi?
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Elias acha kufukuliwa mitaro, ni laana hiyo
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Kama shida ni ushoga, bora lisiende wabaki kumpendeza Mungu. Yaliyobakia siyo ishu sana. Maana hata bia zilitolewa japo kwa masharti
 
Huenda kwa sasa wakaonekana ni mashujaa wa kiislamu baada ya kuchachamaa sheria zao hasa za dini zisivunjwe wala kuingiliwa na utamaduni wa magharibi kama ushoga, ulevi,tattoo nk.

Lakini nawaambia kaeni mkijua hili kombe likishaisha msahau kabisa ili kombe kurudi tena kwenye nchi yoyote ya uarabuni.Hakuna tena atayekubali hili kombe lifanyike kwenye mazingira kama haya NEVER NEVER NEVER.
Kwani ni lazima,kwanza wazungu wakikiuchukia upo salama kuliko wakikupenda.
 
Ww huna akili na kama kuna aliyekufundisha hayo maandiko hakika huyo ni juha
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
 
Unaongea Nini wewe? Hebu tuanze na pombe, Quran 45:17 Allah anasema peponi Kuna mito ya pombe yenye radha safi kwa wanywao, halafu unazuia pombe hapa duniani huu ni unafiki. Tuje Quran 2 223 inasema wanawake ni konde zenu ziendeeni konde zenu Kama mpendavyo, tafsri yake ni kuwalawiti. Leo unazuia ushoga na ulawiti hapa duniani, huu ni unafiki wa hali ya juu. FIFA safari nyingine waziepuke nchi za Kiarabu kuandaa World cup.
Tena Mohammad alikuwa anapiga pombe , ushahidi upo kwenye hadiths

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom