Qatar kuuzia Ujerumani gesi kwa miaka 15

Qatar kuuzia Ujerumani gesi kwa miaka 15

ACHA UTOTO BASI:

The federal government celebrates its LNG deal with Qatar and boasts big numbers. The fact is, these two million tons of LNG correspond to three percent of German gas consumption. There are still no real alternatives to Russian gas!”the politician from The Left party wrote on Twitter.
ACHA UKUBWA BASI:

Wapi hapo pameandikwa wanataka replace Gas ya Russia?! Wanachotaka ni kuondoa utegemezi wa Gas ya Russia ambayo Ujerumani ilikua ikiitegemea Urusi kwa 40% ya mahitaji yake ya Gas.

Ukiacha Gas, Ujerumani inawekeza kwenye renewable miaka kumi ijayo matumizi Yao ya Gas yatapungua Sana huwezi fananisha na sasa. Kama unadhani Zama za Russia kutumia Gas kama silaha ya kisiasa hapo Ulaya zitaendelea bhas unaota,AMKA haraka Sana.

Miaka ya 1970s Marekani ilikua tegemezi Sana WA Mafuta ya waarabu lkn baada ya oil crisis ya 1973 Marekani iliwekeza Sana kwenye uzalishaji WA Mafuta Leo ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani,12m BPD.
 
Sasa Mkuu unapinga wakati wenzako washasaini mkataba[emoji23].

Mbona China wameingia mkataba na Qatar wa miaka 27 kununua hiyohiyo LNG,kwani hawakuona hiyo cheap gas from Russia,au na wachina wanataka kuufurahisha utawala wa Marekani?!
Ha ha ha ha ha mkuu alivyokaza shingo na jinsi ulivyomjibu ikabidi nicheke tu
 
Hili nalo unalizungumziaje?!
Qatar seals 27-year LNG deal with China as competition heats up.

QatarEnergy has signed a 27-year deal to supply China's Sinopec with liquefied natural gas in the longest such LNG agreement to date as volatility drives buyers to seek long-term supplie

Since Russia's invasion of Ukraine in February, competition for LNG has become intense, with Europe in particular needing vast amounts to help replace Russian pipeline gas that used to make up almost 40% of the continent's import

European companies looking to buy LNG needed to look at how Asian buyers were approaching their own negotiations and were willing to lock into long-term deals, QatarEnergy chief Saad al-Kaabi told Reuters, shortly before signing the Sinopec dea

"Today is an important milestone for the first sales and purchase agreement (SPA) for North Field East project, it is 4 million tonnes for 27 years to Sinopec of China," Kaabi sai

"It signifies long-term deals are here and important for both seller and buyer," he said in an interview in Doha, adding that the deal was the LNG sector's largest single sales and purchase agreement on record.

The North Field is part of the world's biggest gas field that Qatar shares with Iran, which calls its share South Pars.

QatarEnergy earlier this year signed five deals for North Field East (NFE), the first and larger of the two-phase North Field expansion plan, which includes six LNG trains that will ramp up Qatar's liquefaction capacity to 126 million tonnes per year by 2027 from 77 million.

It later signed contracts with three partners for North Field South (NFS), the second phase of the expansion.

Monday's deal, confirmed by Sinopec (600028.SS), is the first supply deal to be announced for NFE.

"This takes our relationship to new heights as we have an SPA that will last into the 2050s," Kaabi said.

"It sends a message that a lot of Asian buyers are actually approaching us to have a long term deal because they see the volumes of gas that are coming in the future are less and less.
Unaupiga mwingi mkuu
 
China hata siku moja hawezi kukubali awe tegemezi Kwa Urusi sababu ameshaona kilichowakuta Ulaya kwa kutegemea gas ya Urusi na kilichowahi mkuta Marekani mwaka 1973 baada ya waarabu kugoma kumuuzia mafuta kisa kuisapoti Israel kwenye vita ndio maana kwenye masuala ya nishati anafanya diversification ya kufa Mtu hategemei sehemu moja Kwa asilimia kubwa pia China yenyewe ina sehemu kadhaa imegundua uwepo wa Gas na mafuta ya kutosha hivyo usije kudhani hata siku moja Gas la soko la Ulaya litakua kuzibwa na Uchina. Ulaya ilikua ikinunua zaidi ya 155 bcm za Gas toka Urusi,China sidhani hata kama zinafika hata 50bcm anazonunua toka Russia.

Zama za Urusi kutawala soko la Gas Ulaya zimekwisha bro hata Putin analijua hilo ndio maana wanaingia mikataba na nchi mbalimbali huku wakifufua project mbalimbali za Gas pia nchi nyingi Hasa za Africa ambazo zimegundua Gas zinatolea macho soko la Europe,Nigeria kule kuna project ya pipeline ambayo itaenda mpk Europe. Msumbiji wameanza kupeleka LNG Europe. Norway imeanza Kwa kujenga pipeline kupeleka Gas Poland ambayo nayo mwanzo ilikua tegemezi Kwa Russia lakini SS hv Poland hainunui Gas ya Russia hata kiduchu. Norway inatarajia kuongeza uzalishaji na kujenga pipelines kwenda nchi nyingine za Europe.
Marekani mwaka huu tuu imeship karibu 40 bcm za LNG kwenda Ulaya,hiyo ni mwaka huu tu baada ya Russia kuvamia Ukraine. Baada ya miaka mitano sijui hali itakuaje!!!!!

Japan na Russia sidhani kama Wana project yoyote ya pipeline,hiyo itakua mpya. Ninachojua Japan na Russia Wana project ya LNG ambapo kampuni ya Marekani Exxon ilijitoa wakabaki Japan na Russia.

Karibu Nusu ya bajeti ya Russia inatoka kwenye mapato ya Mafuta na Gas na nchi nyingi zilizoendelea kwenye Muongo ujao zinahama huko zinaenda kwenye renewable sasa sijui Supapawa wetu mtegemea mafuta na Gas ataishije. Ulaya kaunzia 2030s magari yanayotumia mafuta yatapigwa Marufuku,nchi kama Germany inawekeza Sana kwenye renewables kama unadhani zile Zama za Putin kutumia Gas kama silaha hapo Ulaya bado zinaendelea bhas upo ndotoni,AMKA!
Licha ya maelezo mazuuuuri yooote uliyompa, kwake itakuwa ni nonsense.
 
ACHA UKUBWA BASI:

Wapi hapo pameandikwa wanataka replace Gas ya Russia?! Wanachotaka ni kuondoa utegemezi wa Gas ya Russia ambayo Ujerumani ilikua ikiitegemea Urusi kwa 40% ya mahitaji yake ya Gas.

Ukiacha Gas, Ujerumani inawekeza kwenye renewable miaka kumi ijayo matumizi Yao ya Gas yatapungua Sana huwezi fananisha na sasa. Kama unadhani Zama za Russia kutumia Gas kama silaha ya kisiasa hapo Ulaya zitaendelea bhas unaota,AMKA haraka Sana.

Miaka ya 1970s Marekani ilikua tegemezi Sana WA Mafuta ya waarabu lkn baada ya oil crisis ya 1973 Marekani iliwekeza Sana kwenye uzalishaji WA Mafuta Leo ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani,12m BPD.
Kwan russia amesema ni Silaha ya kisiasa au wao ndo wana mchecheto.

Ile ni bidhaa na yeye atamuuzia yeyote atakayekubaliana naye duniani.

Eu ni vinchi vichache, yeye ataendelea kuuza na watanunua kama wanavyoendelea kununua hivi sasa
 
China hata siku moja hawezi kukubali awe tegemezi Kwa Urusi sababu ameshaona kilichowakuta Ulaya kwa kutegemea gas ya Urusi na kilichowahi mkuta Marekani mwaka 1973 baada ya waarabu kugoma kumuuzia mafuta kisa kuisapoti Israel kwenye vita ndio maana kwenye masuala ya nishati anafanya diversification ya kufa Mtu hategemei sehemu moja Kwa asilimia kubwa pia China yenyewe ina sehemu kadhaa imegundua uwepo wa Gas na mafuta ya kutosha hivyo usije kudhani hata siku moja pengo la soko la Ulaya litakuja kuzibwa na Uchina. Ulaya ilikua ikinunua zaidi ya 155 bcm za Gas toka Urusi,China sidhani hata kama zinafika hata 50bcm anazonunua toka Russia.

Zama za Urusi kutawala soko la Gas Ulaya zimekwisha bro hata Putin analijua hilo ndio maana wanaingia mikataba na nchi mbalimbali huku wakifufua project mbalimbali za Gas pia nchi nyingi Hasa za Africa ambazo zimegundua Gas zinatolea macho soko la Europe,Nigeria kule kuna project ya pipeline ambayo itaenda mpk Europe. Msumbiji wameanza kupeleka LNG Europe. Norway imeanza Kwa kujenga pipeline kupeleka Gas Poland ambayo nayo mwanzo ilikua tegemezi Kwa Russia lakini SS hv Poland hainunui Gas ya Russia hata kiduchu. Norway inatarajia kuongeza uzalishaji na kujenga pipelines kwenda nchi nyingine za Europe.
Marekani mwaka huu tuu imeship karibu 40 bcm za LNG kwenda Ulaya,hiyo ni mwaka huu tu baada ya Russia kuvamia Ukraine. Baada ya miaka mitano sijui hali itakuaje!!!!!

Japan na Russia sidhani kama Wana project yoyote ya pipeline,hiyo itakua mpya. Ninachojua Japan na Russia Wana project ya LNG ambapo kampuni ya Marekani Exxon ilijitoa wakabaki Japan na Russia.

Karibu Nusu ya bajeti ya Russia inatoka kwenye mapato ya Mafuta na Gas na nchi nyingi zilizoendelea kwenye Muongo ujao zinahama huko zinaenda kwenye renewable sasa sijui Supapawa wetu mtegemea mafuta na Gas ataishije. Ulaya kaunzia 2030s magari yanayotumia mafuta yatapigwa Marufuku,nchi kama Germany inawekeza Sana kwenye renewables kama unadhani zile Zama za Putin kutumia Gas kama silaha hapo Ulaya bado zinaendelea bhas upo ndotoni,AMKA!
Kilichowakuta Ulaya kitu gani..????

Ntie jamaa mnachekesha, Licha ya vita ya Ukraine , Urussi alikata supply ya Gesi???

Au wao wenyewe ndo wamejitia kwenye shida?

Think big kodog
 
mambo yashasainiwa wewe unaandika essay

Hehehe jamaa huandika hadi basi halafu hajui hata punctuation, anaandika liparagraph kama lote, wale husoma hizi essay zake hupata tabu sana.
Mkataba ushatiw saini na Mrusi anaendelea kupoteza wamebaki na hizi insha zao humu.
 
Kwa bei gani na itakuwa inachukuwa muda gani kusafirishwa mpaka Ujerumani, yaani kwa mawazo yako unafikiri viwanda vya Ujerumani vitakubali upuuzi huu wa Kansela wa Ujerumani na baadhi ya wenzake wenye chuki binafsi na Putin wauziwe gezi kwa bei ya kuruka, waache kununua gesi kwa bei nafuu kutoka Urusi ambayo ni relatively cheap na karibu kuliko Qatar - nani atakubali kufanya biashara hiyo kichaa,.ili kufurahisha Uongozi wa Merikani maanake wao ndio wako obsessed na gesi/mafuta ya Urusi, wanazishinikiza mataifa ya Ulaya yasinunue gesi wala mafuta kutoka Urusi kampeni hizo chafu walizianza kwa muda mrefu sana kwa kutumia vitisho mbali mbali, kinacho wasumbua ni wivu tu na roho ya kwa nini - kumbukeni visanga vya Huawei ,S-400 na Sukhoi SuperJet.
Kumbe uko upand wa dikteta, mbona urusi lishabuma kitambo tunasubiri walau miaka 4 hivi Russia iwe kama zimbabwe
 
Kwan russia amesema ni Silaha ya kisiasa au wao ndo wana mchecheto.

Ile ni bidhaa na yeye atamuuzia yeyote atakayekubaliana naye duniani.

Eu ni vinchi vichache, yeye ataendelea kuuza na watanunua kama wanavyoendelea kununua hivi sasa
EU vinchi vidogo?!

Hata Japan ni kanchi kadogo lakini Uchumi wake ni mara tatu zaidi ya ule wa Urusi.

Biashara anayofanya Urusi na EU Kwa mwaka inaipiku ile ambayo China inafanya na Urusi kwa mara kadhaa. Hatuangalii udogo WA nchi tunaangalia nguvu za Uchumi za nchi husika,hata Tanzania ni kubwa kuliko Kenya lakini GDP ya Kenya ni karibu mara mbili Ile ya Tz.
 
Kilichowakuta Ulaya kitu gani..????

Ntie jamaa mnachekesha, Licha ya vita ya Ukraine , Urussi alikata supply ya Gesi???

Au wao wenyewe ndo wamejitia kwenye shida?

Think big kodog
Kilichokua kinamfanya kufunga na kufungua koki zile pipes za Nord streams kitu gani,tena afadhali walivyozilipua maana ilikua ni upuuzi mara Leo gesi ifunguliwe,kesho ipunguzwe keshokutwa ifungwe...upuuzi mtupu!!!! Waingereza wakaona bora wasepe na hayo mabomba.
 
Kuna watu wanakwambia gas ya US ni Bei ghali lkn cha ajabu mpaka Uchina anaitaka hiyohiyo ya Bei ghali

China signs huge LNG deals with U.S. supplier Venture Global.

SINGAPORE, Oct 20 (Reuters) - China has agreed three huge liquefied natural gas (LNG) deals with U.S. exporter Venture Global LNG as the world's second-biggest economy looks to secure long-term supplies amid soaring gas prices and domestic power shortages.

According to documents posted on the U.S. department of energy website, the agreements with China's state oil giant Sinopec include two 20-year deals for a combined 4 million tonnes of LNG per year.

Those deals bring Venture Global's plant in Plaquemines, Louisiana, with an export capacity of up to 20 million tonnes per annum (mtpa), one step closer to a final investment decision which is expected by the end of this year.

For China - which has this year overtaken Japan as the world's top LNG buyer - the deals will be its single largest LNG trade agreement in terms of volumes without an equity stake, a senior Beijing-based gas industry source said.

They will also double the volumes China imports from the United States, its sixth-ranked supplier last year with volumes at 3.1 million tonnes.

Both of the 20-year deals are sales and purchase agreements, according to the notice, which did not specify when the supplies would start, but added they were signed last month.

One is for 2.8 mtpa of LNG sold on a free-on-board (FOB) basis and the other for 1.2 mtpa sold on a delivered at place unloaded (DPU) basis.

Venture Global also signed a third deal with Unipec, the trading arm of Sinopec, to supply 1 mtpa of LNG from its Calcasieu Pass Facility for three years starting March 1, 2023, according to a separate document posted on the U.S. government website.

Sinopec and Venture Global declined to comment.

A second Beijing-based industry executive said the deals were likely to be announced at China's annual Import Expo in Shanghai next month.
 
Kilichokua kinamfanya kufunga na kufungua koki zile pipes za Nord streams kitu gani,tena afadhali walivyozilipua maana ilikua ni upuuzi mara Leo gesi ifunguliwe,kesho ipunguzwe keshokutwa ifungwe...upuuzi mtupu!!!! Waingereza wakaona bora wasepe na hayo mabomba.
Lini alifungua na kufunga...

Alisema nunueni gesi, mmemzuia kutumia dola.. akaamua mnunue kwa Rubbles.

Leta ushahidi lini Russia alisema hatowauzia gesi Eu sababu ya vita ya Ukraine.
 
EU vinchi vidogo?!

Hata Japan ni kanchi kadogo lakini Uchumi wake ni mara tatu zaidi ya ule wa Urusi.

Biashara anayofanya Urusi na EU Kwa mwaka inaipiku ile ambayo China inafanya na Urusi kwa mara kadhaa. Hatuangalii udogo WA nchi tunaangalia nguvu za Uchumi za nchi husika,hata Tanzania ni kubwa kuliko Kenya lakini GDP ya Kenya ni karibu mara mbili Ile ya Tz.
Wao kwa tabia ya kupenda kuweka vikwazo kwa asiyefuata matakwa yao ndo walipata mchecheto.

I repeat Russia atauza gesi atauza ngano na maisha yataendelea.

Msilazimishe kuwa EU au US ndo the greatest. Na Russia anaenda kupprove hilo.
 
Sasa vi nchi vingine vya Ulaya kama Ureno, Slovenia, Bosnia, Macedonia, Hungary Albania, Craotia, Czech, Slovak, Bulgaria, nk wataweza kununua gesi kutoka Quatar? Pili, Quatar inao uwezo wa kuhudumia soko lote la Ulaya?

Vv
Sio Qatar tu uzalishaji wa gesi unaongezeka ktk nchi nyingi duniani hata Msumbiji hapa wanakaribia kuanza kusafirisha gesi.

Angola, Nigeria na Algeria wanatarajia kuongeza uzalishaji mara dufu ili kuchangamkia fursa iliyoletwa na ujinga wa Russia, hata Marekani, Mexico na Canada pia zinaongezeka uzalishaji na Venezuela pia itapata msamaha wa Marekani.

In the next few years there is going to be a gas glut on the international market even with the exception of the Russian gas. Russian economy has begun to take a nosedive.
 
Wao kwa tabia ya kupenda kuweka vikwazo kwa asiyefuata matakwa yao ndo walipata mchecheto.

I repeat Russia atauza gesi atauza ngano na maisha yataendelea.

Msilazimishe kuwa EU au US ndo the greatest. Na Russia anaenda kupprove hilo.

Hatulazimishi hizo ndo facts.

GDP ya USA ni karibu $25 trillion
GDP ya EU ni $16 trillion
GDP ya Urusi $1.8 trillion.

Sasa hapo tumelazimisha wapi Shekhe?!
 
Back
Top Bottom