Kama unategemea mafuta na gas kutupwa kabisa hapa duniani unakosea sanaa
Nakama unasema watu wanaachana na mafuta na gas nakuhamia kwenye renewable kama usemavyo hao GERMAN wameenda kufanya nini huko QATAR na hao MOZAMBIQUE nao wanapeleka wapi gas na hio pipe inayoendeshwa huko NIGERIA to EUROPE kama usemavyo yakazi gan wakat muongo ujao wanaachana na GAS na mafuta kama usemavyo
Kama hujui tu TURKEY inajengwa HUB kubwa ya GAS ambayo special kwa ULAYA pia ikumbukwe hio GAS hapo itakua inatokea RUSSIA kwahio wataoenda nunua huko watakua wananunua GAS ya RUSSIA iliohifadhiwa TURKEY
Kuhusiana na huyo POLAND unaesema kaachana na GAS ya RUSSIA tunaomba tukukumbushe tu kwamba kwasasa wananunua GAS tokea HUNGARY ambao HUNGARY nao gas yao nyingi kama sio yote wanapewa kutokea huko RUSSIA
Kama hujui naomba nikujuze UCHINA kwasasa anabomba la GAS linalotoka RUSSIA mpaka huko CHINA kwasasa linapeleka mita zaujazo 50billioni napia wanamradi mwengine ambao mpaka ukija kukamilika utakua unapeleleka GAS ya ujazo wa 80billion jumlisha hapo utapata kiasi gani ukilinganisha na EU na hapo bado ni UCHINA tu hatujaenda kule INDIA IRAN PAKISTAN nk...
Naomba tu nikwambie kwamba JAPAN na RUSSIA wanamradi mkubwa tu wa GAS kama sijakosea jina unaitwa SAKHALIN moja nishasahau unapitisha ujazo gani wa GAS pia bado wana project mpya ya SAKHALIN mbili ipo mbioni na huu mradi ndio kampuni ya US ilijitoa JAPAN wakaziba pengo wenyewe namaisha yanaendelea kama kawaida kwenye huo mradi waliojitoa
UCHINA kama alivyo US GAS aloigundua haitaweza kumtosha maana atakua anazalisha ila anatumia zaidi kama alivyo US kwasasa anaona kapata soko EU kwakiasi fulani kwahio anataka auziwe mafuta na VENEZUELA akapige pesa huko EU
Kama munategemea EU itatoshwa na GAS na MAFUTA nje ya RUSSIA kwasasa bado sana tena sanaa nandio maana mpaka sasa wanavutana kueka bei elekezi sababu RUSSIA kashasema kama wakieka bei elekezi hawauzi sasa kama wanapata kutoka US wanangoja nn kuachana na nishati ya RUSSIA
kama RUSSIA ingekua inategemea mafuta na gas tu kama mnavyosema isingeweza kuimudu hii SMO hata kwa zaidi ya mwezi
Sent using
Jamii Forums mobile app