Qatar kuuzia Ujerumani gesi kwa miaka 15

ACHA UKUBWA BASI:

Wapi hapo pameandikwa wanataka replace Gas ya Russia?! Wanachotaka ni kuondoa utegemezi wa Gas ya Russia ambayo Ujerumani ilikua ikiitegemea Urusi kwa 40% ya mahitaji yake ya Gas.

Ukiacha Gas, Ujerumani inawekeza kwenye renewable miaka kumi ijayo matumizi Yao ya Gas yatapungua Sana huwezi fananisha na sasa. Kama unadhani Zama za Russia kutumia Gas kama silaha ya kisiasa hapo Ulaya zitaendelea bhas unaota,AMKA haraka Sana.

Miaka ya 1970s Marekani ilikua tegemezi Sana WA Mafuta ya waarabu lkn baada ya oil crisis ya 1973 Marekani iliwekeza Sana kwenye uzalishaji WA Mafuta Leo ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani,12m BPD.
 
Sasa Mkuu unapinga wakati wenzako washasaini mkataba[emoji23].

Mbona China wameingia mkataba na Qatar wa miaka 27 kununua hiyohiyo LNG,kwani hawakuona hiyo cheap gas from Russia,au na wachina wanataka kuufurahisha utawala wa Marekani?!
Ha ha ha ha ha mkuu alivyokaza shingo na jinsi ulivyomjibu ikabidi nicheke tu
 
Unaupiga mwingi mkuu
 
Licha ya maelezo mazuuuuri yooote uliyompa, kwake itakuwa ni nonsense.
 
Kwan russia amesema ni Silaha ya kisiasa au wao ndo wana mchecheto.

Ile ni bidhaa na yeye atamuuzia yeyote atakayekubaliana naye duniani.

Eu ni vinchi vichache, yeye ataendelea kuuza na watanunua kama wanavyoendelea kununua hivi sasa
 
Kilichowakuta Ulaya kitu gani..????

Ntie jamaa mnachekesha, Licha ya vita ya Ukraine , Urussi alikata supply ya Gesi???

Au wao wenyewe ndo wamejitia kwenye shida?

Think big kodog
 
Ila ninyi mnaoshabikiaga NATO huwa mnakuwa wajinga sana, mkianza kucomment upuuzi mnaongozana hadi comment za ishirini huko mnaandika upumbavu tu

hehehe kumbe inaingia...safi sana na hadi mtakoma...nimecheka sana.
 
mambo yashasainiwa wewe unaandika essay

Hehehe jamaa huandika hadi basi halafu hajui hata punctuation, anaandika liparagraph kama lote, wale husoma hizi essay zake hupata tabu sana.
Mkataba ushatiw saini na Mrusi anaendelea kupoteza wamebaki na hizi insha zao humu.
 
Kumbe uko upand wa dikteta, mbona urusi lishabuma kitambo tunasubiri walau miaka 4 hivi Russia iwe kama zimbabwe
 
Kwan russia amesema ni Silaha ya kisiasa au wao ndo wana mchecheto.

Ile ni bidhaa na yeye atamuuzia yeyote atakayekubaliana naye duniani.

Eu ni vinchi vichache, yeye ataendelea kuuza na watanunua kama wanavyoendelea kununua hivi sasa
EU vinchi vidogo?!

Hata Japan ni kanchi kadogo lakini Uchumi wake ni mara tatu zaidi ya ule wa Urusi.

Biashara anayofanya Urusi na EU Kwa mwaka inaipiku ile ambayo China inafanya na Urusi kwa mara kadhaa. Hatuangalii udogo WA nchi tunaangalia nguvu za Uchumi za nchi husika,hata Tanzania ni kubwa kuliko Kenya lakini GDP ya Kenya ni karibu mara mbili Ile ya Tz.
 
Kilichowakuta Ulaya kitu gani..????

Ntie jamaa mnachekesha, Licha ya vita ya Ukraine , Urussi alikata supply ya Gesi???

Au wao wenyewe ndo wamejitia kwenye shida?

Think big kodog
Kilichokua kinamfanya kufunga na kufungua koki zile pipes za Nord streams kitu gani,tena afadhali walivyozilipua maana ilikua ni upuuzi mara Leo gesi ifunguliwe,kesho ipunguzwe keshokutwa ifungwe...upuuzi mtupu!!!! Waingereza wakaona bora wasepe na hayo mabomba.
 
Kuna watu wanakwambia gas ya US ni Bei ghali lkn cha ajabu mpaka Uchina anaitaka hiyohiyo ya Bei ghali

China signs huge LNG deals with U.S. supplier Venture Global.

SINGAPORE, Oct 20 (Reuters) - China has agreed three huge liquefied natural gas (LNG) deals with U.S. exporter Venture Global LNG as the world's second-biggest economy looks to secure long-term supplies amid soaring gas prices and domestic power shortages.

According to documents posted on the U.S. department of energy website, the agreements with China's state oil giant Sinopec include two 20-year deals for a combined 4 million tonnes of LNG per year.

Those deals bring Venture Global's plant in Plaquemines, Louisiana, with an export capacity of up to 20 million tonnes per annum (mtpa), one step closer to a final investment decision which is expected by the end of this year.

For China - which has this year overtaken Japan as the world's top LNG buyer - the deals will be its single largest LNG trade agreement in terms of volumes without an equity stake, a senior Beijing-based gas industry source said.

They will also double the volumes China imports from the United States, its sixth-ranked supplier last year with volumes at 3.1 million tonnes.

Both of the 20-year deals are sales and purchase agreements, according to the notice, which did not specify when the supplies would start, but added they were signed last month.

One is for 2.8 mtpa of LNG sold on a free-on-board (FOB) basis and the other for 1.2 mtpa sold on a delivered at place unloaded (DPU) basis.

Venture Global also signed a third deal with Unipec, the trading arm of Sinopec, to supply 1 mtpa of LNG from its Calcasieu Pass Facility for three years starting March 1, 2023, according to a separate document posted on the U.S. government website.

Sinopec and Venture Global declined to comment.

A second Beijing-based industry executive said the deals were likely to be announced at China's annual Import Expo in Shanghai next month.
 
Lini alifungua na kufunga...

Alisema nunueni gesi, mmemzuia kutumia dola.. akaamua mnunue kwa Rubbles.

Leta ushahidi lini Russia alisema hatowauzia gesi Eu sababu ya vita ya Ukraine.
 
Wao kwa tabia ya kupenda kuweka vikwazo kwa asiyefuata matakwa yao ndo walipata mchecheto.

I repeat Russia atauza gesi atauza ngano na maisha yataendelea.

Msilazimishe kuwa EU au US ndo the greatest. Na Russia anaenda kupprove hilo.
 
Sasa vi nchi vingine vya Ulaya kama Ureno, Slovenia, Bosnia, Macedonia, Hungary Albania, Craotia, Czech, Slovak, Bulgaria, nk wataweza kununua gesi kutoka Quatar? Pili, Quatar inao uwezo wa kuhudumia soko lote la Ulaya?

Vv
Sio Qatar tu uzalishaji wa gesi unaongezeka ktk nchi nyingi duniani hata Msumbiji hapa wanakaribia kuanza kusafirisha gesi.

Angola, Nigeria na Algeria wanatarajia kuongeza uzalishaji mara dufu ili kuchangamkia fursa iliyoletwa na ujinga wa Russia, hata Marekani, Mexico na Canada pia zinaongezeka uzalishaji na Venezuela pia itapata msamaha wa Marekani.

In the next few years there is going to be a gas glut on the international market even with the exception of the Russian gas. Russian economy has begun to take a nosedive.
 
Wao kwa tabia ya kupenda kuweka vikwazo kwa asiyefuata matakwa yao ndo walipata mchecheto.

I repeat Russia atauza gesi atauza ngano na maisha yataendelea.

Msilazimishe kuwa EU au US ndo the greatest. Na Russia anaenda kupprove hilo.

Hatulazimishi hizo ndo facts.

GDP ya USA ni karibu $25 trillion
GDP ya EU ni $16 trillion
GDP ya Urusi $1.8 trillion.

Sasa hapo tumelazimisha wapi Shekhe?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…