Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...