Sio mkia wa NETANYAHU Iran wameshika adi makalio y Israel yote na awana wanachoweza fanya kwa Iran !!!Gaudi Qatar anafanya hivyo ili asiguswe na Israel baada ya kuona kastukiwa kuchezea mkia wa Netanyahu.. Magana anajua kipigo hakipo mbali.. Mosad anamalizia kukusanya data za evil wa Doha
Israel ni Media tuu lkn amna kitu pale!!!
! GAZA Miaka 3 sasa uku wanaendelea kuzika vijana wao wa IDF kila siku!!!
watu wameshajua ni O tu.