China. C-15JKampun inayo unda hizo ndege ni ya kutokea inchi gan?
Mwakani kuna midterm elections.Kiimadili ya uongozi wa umma zawadi yoyote ukipewa ukiwa unaitumikia serikali hiyo zawadi sio yako binafsi bali ya serikali.
Akiichukua anaweza kushtakiwa....ni matumizi mabaya ya madaraka
Najua Trump ana Team yote hayo yamezingatiwa!! Si kilaza kama unavyofikiriMwakani kuna midterm elections.
Najua Trump ni kilaza lakini sikuwaza anaweza kuwa kilaza wa kiwango hiki.
Akiikubali hiyo ndege atakuwa amewapa ‘ammunition’ wapinzani wake [Democrats].
Watapiga kampeni wakidai Trump ni mla rushwa anaye compromise usalama wa taifa, na kadhalika.
Kwa mtaji huo, wanaweza kushinda kwa kiasi kikubwa hizo midterms.
Wakipata idadi inayotosha, wanaweza kabisa kum impeach na kumuondoa madarakani.
Sijui kama kalifikiria hilo.
Halafu, suala la ndege ya Rais ni suala nyeti sana. Hata baadhi ya Republicans wanaweza kuungana na Democrats katika kumuondoa madarakani.
Trump ni kilaza…..lakini anaweza kuwa kilaza kuliko ninavyomfikiria….
Ni kilaza!Najua Trump ana Team yote hayo yamezingatiwa!! Si kilaza kama unavyofikiri
Hiyo wajenzi ni wamarekani wenyewe ..........imetoka hapo settle ina kwenda Washington............Chanzo cha hii habari ni kipi?
Kwa mujibu wa sheria Rais wa Marekani hawezi kupokea zawadi nyeti kama hiyo.
Naomba chanzo cha habari yake, tafadhali.
Hiyo siyo hoja!Hiyo wajenzi ni wamarekani wenyewe ..........imetoka hapo settle ina kwenda Washington............
Kama ni mtumba hawapokei............ile ya trump air yeye mwenyewe alinunua mpyaHiyo siyo hoja!
Kama ni hivyo kwa nini isitoke Seattle iende Washington DC moja kwa moja?
Halafu ndege yenyewe siyo mpya. Ina miaka kadhaa sasa.
Kuna balaa likikupata ni halali yako kabisa. Watu kama wewe hata ukitupwa kwenye kiroba ni sawa kabisa.Chura kiziwi akiona hii kis*mi kitaloa
Wapi bunge limelifanyia kazi hili? Weka link hapa bunge la Marekani kinafanya kazi yake kwa uwazi.Kabla wewe hujayawaza hayo wenzako walishayafanyia kazi kitambo!!
Sijasema ni kosa, ndio inavyotakiwa, nilimaanisha utaratibu huo ulikuwa bora zamani, utakiwa zaidi sasa.Kuna ubaya kuomba chanzo? Ni kosa?
Kumbe sisi tupo mbele sana ya mudaMarekani imepatikana, Trump ataiuza nchi yake kwa waarabu na matajiri wa tech
Serikali gani tena hiyo? Maana Trump mwenyewe ni serikali ndani na juu ya serikali.Hiiyo ni zawadi ya Marekani. Kwa umbumbu wake kisheria na kihali, kama kainunua kimagumbashi ili akwepe kodi kama kawaida yake, itatwaliwa na serikali.
Kweli kabisa, mwanzoni nilimuona mtu wa maana kumbe naye ni hovyo kabisa. Yaani ameamua kuwa Toilet paper ya Qatar kujisafisha kwenye tuhuma za kufadhili ugaidi.Mwakani kuna midterm elections.
Najua Trump ni kilaza lakini sikuwaza anaweza kuwa kilaza wa kiwango hiki.
Akiikubali hiyo ndege atakuwa amewapa ‘ammunition’ wapinzani wake [Democrats].
Watapiga kampeni wakidai Trump ni mla rushwa anaye compromise usalama wa taifa, na kadhalika. Na wataaminika kiurahisi sana.
Kwa mtaji huo, wanaweza kushinda kwa kiasi kikubwa hizo midterms.
Wakipata idadi inayotosha, wanaweza kabisa kum impeach na kumuondoa madarakani.
Sijui kama kalifikiria hilo.
Halafu, suala la ndege ya Rais ni suala nyeti sana. Hata baadhi ya Republicans wanaweza kuungana na Democrats katika kumuondoa madarakani.
Trump ni kilaza…..lakini anaweza kuwa kilaza kuliko ninavyomfikiria….
Trump hakuwahi kuwa mtu wa maana chochote zaidi ya tapeli wa kawaida tena mwenye IQ ndogo kuliko hata panya wetu wa kulipua mabomu.Kweli kabisa, mwanzoni nilimuona mtu wa maana kumbe naye ni hovyo kabisa. Yaani ameamua kuwa Toilet paper ya Qatar kujisafisha kwenye tuhuma za kufadhili ugaidi.