Hivyo ndio vitu Trump anapendaHaa Zawadi Hii Bhalaa
Contractors walimnunulia ndege bi nanihiiHaa Zawadi Hii Bhalaa
ndo maana kamtwanga bloku benja...kweli pesa ndo kila kitu,wewe myahudi unapiga simu kuomba usaidiwe tu kama mchepuko,wenzio wanatoa zawadi mpk ndegeVyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
View attachment 3331286View attachment 3331287
Chanzo cha hii habari ni kipi?Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
View attachment 3331286View attachment 3331287
Kuna tofauti kidogo; ikitokea Bakhresa or MO kampatia zawadi masikini, lazima tu question hilo, hasa kama huyo masikini ndio kiongozi wa familia na urithi wa familia yeye ndio kiongozi, lakini ikitokea mtu kama wale wa miliki wa Ihefu wakimpa zawadi MO au Bakhresa, maswali hayawezi kua mengi kiviiile cause hao kina Bakhresa au MO hawawezi kuuza mali kwa wale matajiri wa kijijini Ubaruku/RujewaAngepewa kizimkazi ungesikia anataka kuuza nchi yetu 😂
Warabu wengine ni ******* sana huyo Trump mimi ningrmpa dali tu hana faida hata chembe. Badala kuwapa pesa hizo Wapalestina analipa kenge hilo.Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
View attachment 3331286View attachment 3331287
Chanzo cha hii habari ni kipi?
Kwa mujibu wa sheria Rais wa Marekani hawezi kupokea zawadi nyeti kama hiyo.
Naomba chanzo cha habari yake, tafadhali.
Umenikumbusha enzi za mwanzo wa JF, kila post inahojiwa source.Chanzo cha hii habari ni kipi?
Kwa mujibu wa sheria Rais wa Marekani hawezi kupokea zawadi nyeti kama hiyo.
Naomba chanzo cha habari yake, tafadhali.
Umemshindilia guu la ng'ombe mjuaji,kuzamia USA anajitia kujua kila kituTrump administration poised to accept 'palace in the sky' as a gift for Trump from Qatar: Sources
President Trump poised to accept "palace in the sky" as a gift from Qatar: Sourcesabcnews.go.com
Kuna ubaya kuomba chanzo? Ni kosa?Umenikumbusha enzi za mwanzo wa JF, kila post inahojiwa source.
Rais wa Marekani hawezi kuchukua zawadi ya kutoka nje bila ya ruhusa ya bunge.Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
View attachment 3331286View attachment 3331287