Sio mkia wa NETANYAHU Iran wameshika adi makalio y Israel yote na awana wanachoweza fanya kwa Iran !!!Gaudi Qatar anafanya hivyo ili asiguswe na Israel baada ya kuona kastukiwa kuchezea mkia wa Netanyahu.. Magana anajua kipigo hakipo mbali.. Mosad anamalizia kukusanya data za evil wa Doha
Lugha ni tatizo kwa Watanzania, habari haijasema wamekubali bali wanafikiriaChanzo cha hii habari ni kipi?
Kwa mujibu wa sheria Rais wa Marekani hawezi kupokea zawadi nyeti kama hiyo.
Naomba chanzo cha habari yake, tafadhali.
That’s what I thought, too!Rais wa Marekani hawezi kuchukua zawadi ya kutoka nje bila ya ruhusa ya bunge.
Exactly……ndo maana nikaomba chanzo.Lugha ni tatizo kwa Watanzania, habari haijasema wamekubali bali wanafikiria
Ndiyo tabia ya mijitu mieusiAngepewa kizimkazi ungesikia anataka kuuza nchi yetu 😂
Exactly……ndo maana nikaomba chanzo.
Wakiichukua zawadi itakuwa ni ku compromise usalama wa rais na habari zote za mawasiliano yake.That’s what I thought, too!
Air Force One ina ofisi ya Rais, ina communication systems zinazomwezesha rais kufanya kazi zake hata akiwa angani…..I find it hard that the US government will allow an airplane gifted from a foreign country to be used as Air Force One.
Source:Chanzo cha hii habari ni kipi?
Kwa mujibu wa sheria Rais wa Marekani hawezi kupokea zawadi nyeti kama hiyo.
Naomba chanzo cha habari yake, tafadhali.
Hiiyo ni zawadi ya Marekani. Kwa umbumbu wake kisheria na kihali, kama kainunua kimagumbashi ili akwepe kodi kama kawaida yake, itatwaliwa na serikali.Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
View attachment 3331286View attachment 3331287
Kabla wewe hujayawaza hayo wenzako walishayafanyia kazi kitambo!!Wakiichukua zawadi itakuwa ni ku compromise usalama wa rais na habari zote za mawasiliano yake.
Watajuaje hilo dege halijawa programmed lilipuke akipanda rais?
Watajuaje mfumo wake wa mawasiliano haujadukuliwa ili mawasiliano yote ya rais yasikilizwe?
Labda wanaweza kukubali kulichukua hilo dege lakini kwa kulitumia akishaondoka ofisini, la sivyo watakuwa ni wapumbavu kupindukia wakikubali kulichukua na kuanza kulitumia akiwa bado yupo ofisini.Wakiichukua zawadi itakuwa ni ku compromise usalama wa rais na habari zote za mawasiliano yake.
Watajuaje hilo dege halijawa programmed lilipuke akipanda rais?
Watajuaje mfumo wake wa mawasiliano haujadukuliwa ili mawasiliano yote ya rais yasikilizwe?
Kiimadili ya uongozi wa umma zawadi yoyote ukipewa ukiwa unaitumikia serikali hiyo zawadi sio yako binafsi bali ya serikali.Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari.
Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza vilivyowekwa ndani yake...
View attachment 3331286View attachment 3331287
Yote hayo yalishazingatiwa!!!!Labda wanaweza kukubali kulichukua hilo dege lakini kwa kulitumia akishaondoka ofisini, la sivyo watakuwa ni wapumbavu kupindukia wakikubali kulichukua na kuanza kulitumia akiwa bado yupo ofisini.
Yaani watu ambao huwa hawaruhusu Rais wao apande hata gari lililotengenezwa na nchi zingine, Rais anayesafiri na magari yake mwenyewe hata akiwa nchi za nje, ndo akubali dege alilopewa kama zawadi na nchi nyingine?
Congress may step in and put the kibosh on it.
Hivi wewe unafikiri hayo yote hawajui? Kwa taarifa yako hao wanajua zaidi kuliko wewe Mmatumbi mwenzangu!!!!Kiimadili ya uongozi wa umma zawadi yoyote ukipewa ukiwa unaitumikia serikali hiyo zawadi sio yako binafsi bali ya serikali.
Akiichukua anaweza kushtakiwa....ni matumizi mabaya ya madaraka