QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

Hio ya rais wa Urusi ni uongo mkubwa sana. Tena uongo mweupe.

I reality Putin ni binadamu wa kawaida na mwenye hofu ya Mungu tofauti na media nyingi zinavyo muelezea na kumjaza maneno.

Ni kama kipindi ya Lowasa kila jengo lilikuwa la kwake.
Kipindi ya JK kila kituo cha mafuta na majumba yalikuwa ya riziwani.

Waandishi wanajaribu kuvuta attention ambayo haina mantiki.

Ndani ya ikulu yake kuna kanisa la zamani sana na hata kwenye mambo ya sayansi kuna mipaka ambayo imewekwa ili wanasayansi wasije wakamkufuru Mungu.

Kiufupi Putin atakufa kama binadamu wengine.
shuqraani mkuu

Ndiyo maana katika paragraph kadhaa nikajaribu kuweka mdokezoswali kwamba ni michezo ya wazungu ama ndivyo ilivyo halisi

Lakini inaitwa nadharia
 
Namsubiri afikishe miaka 200.
Kama alikuwepo kipindi Cha Vita ya dunia ya 2. passport yake inaonesha alizaliwa mwaka gani?
 
QUANTUM IMMOTALITY

Wasaalam

kuna mtaalamu alipata kusema
"UBONGO WA MWANADAMU HAUJAWAHI KUWAZA KITU AMBACHO HAKIPO AU HAKIJAWAHI kuwahi KUWEZEKANA AU KUJA KUWEZEKANA"

kama hujanielewa kwenye nukuu hiyo utakuja na maswali mengi kwenye baadhi ya vipengele huko chini.

Tumejifunza vingi sana kuhusu maisha na vilivyo nyuma ya maisha ya kawaida

Na WAKATI MWINGINE inatakiwa tukubali kuwa kuna NGUVU nyingine inayoendesha na kutawala hii dunia yetu tofauti na ubidamu

Wazungu wamekuwa na michezo ya kutuchezea bongo zetu ,,,,kwa namna mbalimbali na kwa mambo ambayo hatukuwahi hata kuyafikiria

Dan Brown mwandishi nguli wa Vitabu vya fiction alipata kusema fiction nyingi huwa zinapenyeza ujumbe ulojificha

Sasa hapa utaongeza mwenyewe kama utaona kama fiction movies mfano wa movie za marvel nazo ziko kwa njia ya kufurahisha au kuleta na ujumbe pia

Ni wewe na imani zako, kwa sababu imenenwa imani huponya


Vladmir Putin, Raisi wa urusi ni kati ya watu wanaodhaniwa kuwa ni "immortal people" watu wasiokufa

View attachment 1680948
RAISI WA URUSI VLADMIR PUTIN


Ushawahi kusikia nadharia ya QUANTUM IMMORTALITY basi huyu bwana hio nadharia amehusishwa nayo sana

Quantum immortality ni uwezo wa kukwepa kifo hii inahusu uzoefu na uwezo binafsi wa kujua hatari za kifo na kukwepa ni kama inaelezwa pia ni kama kujiua kwa kiasi.

Wazo hili wakati mwingine linafikiriwa kuwa linatumika kwa sababu za ulimwengu ambao sio halisi (huu tuliopo sisi)

Wataalam wengi wanakazia kuwa jaribio au wazo linalohusiana na kukwepa kutokufa halitafanya kazi katika ulimwengu huu wa kweli tuliopo sisi.

Ni vyema ukaenda kwa mtandao kujifunza zaidi kuhusu hio nadharia. (wameelezea hadi namna inavyofanyika)

Watalamu wanoelezea nadharia hii wanasema kuwa watu wa mtindo huu wanauwezo wakutumia asilimia 50% ya ubongo.

ikumbukwe wataalamu wengine pia wana nadharia nyingine isemeyo binadamu wakawaida (yaani mimi na wewe ) tunatumia asilimia 2-1% tu ya uwezo wa bongo zetu

watu ambao wamefanya maajabu makubwa katika ulimwengu kwa gunduzi mbalimbali ,, mfano Albert Eistein, Isaac newton, Hawking na Nikola Tesla inaelezwa ndiyo baadhi waliojaribu kutumia japo aslimia 10%-15% ya bongo zao.

View attachment 1680950
NIKOLA TESLA

View attachment 1680951
SIR ISAAC NEWTON

Nadharia hiyo ilienezwa na mwandishi LOWELL THOMAS ,na kuna movie kadhaa zinaelezea nadharia hii...na zimejaribu kuonesha kama binadamu atatumia asilimia 100% ya ubongo wake mambo yatakuwa vipi

Lakini nadharia hio imepingwa na wanasayansi wengi wakiamin kila mtu ubongo wake unafanya kazi kwa asilimia 100%

Putin anahusishwa na nadharia hii kutokana na matendo mbalimbali ya ajabu ambayo anahusishwa nayo

Hata hivyo picha kadhaa zinamuonyesha na kudhaniwa alikuwepo toka mwaka 1920 na alipigana vita ya pili kama mwanajeshi

View attachment 1680952

Na hili baadhi ya watu ulimwenguni huliamini kutokana na Putin kuwa mwanajeshi kabla.

View attachment 1680953

Hatujui chochote kuhusu hii michezo ya wazungu kama ni ukweli au ni drama

TUNAHITAJI DONDOO ZAIDI ....

karibuni

DA'VINCI XV
ukiona mjadala kama huu umeanzishwa hapa ujue mzee hana siku nyingi watu wataandika hapa R.I.P, Mungu hadhihakiwi kila nafsi itaonja mauti inategemea nani anatangulia
 
tatizo ni kwamba hata elimu zinazotolewa na dini zetu zinachangia upotoshaji mwingi.
Mfano unaposoma kisa cha Lazaro na tajiri ,Luka 16 utakugundua kwamba ukiishakufa hukumu yako inakuwa tayari huwezi kufanya chochote, ila tunaendeleza unafiki kuwa mfu anaweza kuombewa na hukumu yake ikaondolewa
Huu ni upotoshaji sawa tu na wa shetani aliyedai kuwa kwa kula tunda haitaleta kifo
 
aiseee sawasawa mkuu
tatizo ni kwamba hata elimu zinazotolewa na dini zetu zinachangia upotoshaji mwingi.
Mfano unaposoma kisa cha Lazaro na tajiri ,Luka 16 utakugundua kwamba ukiishakufa hukumu yako inakuwa tayari huwezi kufanya chochote, ila tunaendeleza unafiki kuwa mfu anaweza kuombewa na hukumu yake ikaondolewa
Huu ni upotoshaji sawa tu na wa shetani aliyedai kuwa kwa kula tunda haitaleta kifo
 
I rem kuna picha za jamaa wayback akiwa bagamoyo and nyingine akiwa near us president ,R.Reagan akisimama kama mtalii tu na camera yake.
This guy is so mysterious or just one of the best spy ever.
🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom