QUANTUM IMMOTALITY: Nadharia ya kukwepa kifo. Je, ni kweli Rais wa urusi PUTIN anaishi milele?

Kuna movie ya kikorea inaitwa my love from another star inasadifu wazo nadharia hii yaan jamaa miji inaanza kukua mpaka kuwa miji mikubwa zaidi ya miaka 400 jamaa yupo tu...alikua professor na anakufundisha historia ya miaka mia tatu nyuma sio kwamba alisimuliwa ila aliishuhudia mwenyewe.
 
hata hizi hadithi ambazo ni fictions....kwenye riwaya na movies zinadokeza mengi ila ndiyo hivyo ishachukuliwa ni maigizo
 
Kaangalie na series inaitwa FOREVER
 
Putin ana miaka 68 kazaliwa mwaka 1952, infact kuna mabadiliko katika phys appearance n clearly anaonekana kuanza kuzeeka inshort anapitia njia za growth kama binadamu mwingine yoyote which means it ll reach a point atakufa kama ilivyo mm na ww. Mengine ni porojo tu coz warussia wanafikiri kazaliwa miaka hadi ya 1480 na hata hizo picha ni za wanajeshi tu wengine wenye kufanana naye...
 
sawasawa mkuu

Ni nadharia
 
Sipingi hiyo nadharia ila nasema pengine hizo picha imetokea coincedence zikafana kwa sababu katika watu bilioni 7.8 waliopo duniani, kila mtu mmoja ana watu wake 6 yaani jumla 7, ambao wanafanana kwa kila kitu huku wakiwa hawana uhusiano wowote ule. Ni utafiti ambao niliusoma mtandaoni.
 
Hizo ni conspiracy theories.
Putin alizaliwa na atakufa tu. Hakuna sayansi kwa sasa inayozuia mtu kufa.
 
Hii ya kufanana mimi mwenyewe nakubaliana nayo sababu toka nimezaliwa nimeshafuata na watu zaidi ya watatu wakinifananisha na watu waliopo sehemu ambazo sijawahi hata kufika.
 
Hii ya kufanana mimi mwenyewe nakubaliana nayo sababu toka nimezaliwa nimeshafuata na watu zaidi ya watatu wakinifananisha na watu waliopo sehemu ambazo sijawahi hata kufika.
sawasawa mkuu
 

reptailes human
Hawa watu si binadamu wa kawaida kuna mada sana zina dai kuwa wana asili ya damu balidi na vifo vyao ni vya kushangazasana
 
Hajawahi kuwa mtoto kwan[emoji848][emoji848][emoji848]
 
reptailes human
Hawa watu si binadamu wa kawaida kuna mada sana zina dai kuwa wana asili ya damu balidi na vifo vyao ni vya kushangazasana
View attachment 1687715
yaah habari zao ninazo ,kiasi chake mkuu

.madai mengi yanadai secret societies wengi sana wamo katika mfumo huu wa reptilia....hao hupandikizwa vinasaba vya reptilia na hawazaliwi wakiwa hivyo

hiyo ipo katika mradi wao wa new world order

na nyoka/reptilia ni utambisho wa yule nyoka wa EDEN aliesababisha mwanadamu kuingia dhambini

NB: hizo zote ni consipiracies bado hazina uthibitisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…