Quarter final ya Simba ni hatari

Likewise kwa Yanga....

Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...

Jambo la muhimu, Tanzania tuna timu mbili na hakuna taifa jingine si Misri au Tunisia limetusua kupitisha timu mbili...
Hili ni jambo kubwa sana kwa soka la nyumbani. Hakika mpira wetu unakua sasa
 
Hakuna ligi yamabigwa nyepesi apa Duniani mzee asa kadri unavyozidi kupanda level Ndio unavyozidi kukutana na ma giant tupu au Nyinyi vyura mliambiwa na muuza magodolo Robo fainali itakua nyepesi
Nyinyi ndo mwisho hapo
 
Simba tunamtamani Petro Atletico.
ya Angola.
Nina uhakika tutapangiwa naye.
Tushamchoka Al-Ahly
 
QUARTER FINAL CHOICES ARE

SIMBA VS PETRO DE LUADA

SIMBA VS AL AHLY

SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS

Chama afanye kitu na huku πŸ˜…πŸ˜… , Kama ni mwamba kweli
yaani umtegemee chama dhidi ya timu zenye akili timamu kama hizo siku zote mtaishia robo mpk mnye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…