Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ukiwa kama nani hapo uwanjani?Simba hapo atoki . Atleast yanga kwa asec Anatoka home and away . Sema wasali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa kama nani hapo uwanjani?Simba hapo atoki . Atleast yanga kwa asec Anatoka home and away . Sema wasali sana
Mamelod ndio timu inayoogopewa na kila mmoja.Yanga akimpata Asec Memosa anaingia nusu fainali.
Tena nje ndaniAnapigwa huyo.tuombe uzima
SureMamelod ndio timu inayoogopewa na kila mmoja.
At least . Sema ata TP na Tunis wanamtaka asec 😅😅Yanga akimpata Asec Memosa anaingia nusu fainali.
Group stage ni timu ngapi zimeshinda goli 6? Why simba aonekane dhaifu?Kila mtu hapo anaamani kupangiwa na simba
Hili ni jambo kubwa sana kwa soka la nyumbani. Hakika mpira wetu unakua sasaLikewise kwa Yanga....
Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...
Jambo la muhimu, Tanzania tuna timu mbili na hakuna taifa jingine si Misri au Tunisia limetusua kupitisha timu mbili...
Nyinyi ndo mwisho hapoHakuna ligi yamabigwa nyepesi apa Duniani mzee asa kadri unavyozidi kupanda level Ndio unavyozidi kukutana na ma giant tupu au Nyinyi vyura mliambiwa na muuza magodolo Robo fainali itakua nyepesi
Hilo linajulikana japo kinaflani siyo bora. Swali hapo SIMBA atamfunga nani?timu ziko 8 na waliofuzu wote ni bora, we ulitarajia kadri unavyozidi kufuzu hatua ukutane na timu ndogo(dhaifu)?
Na ukute hata na Mamelod wenyewe kuna timu mojawapo za hapa bongo hawatamani kukutana na ayo robo fainalMamelod ndio timu inayoogopewa na kila mmoja.
for sureHilo linajulikana japo kinaflani siyo bora. Swali hapo SIMBA atamfunga nani?
true. mamelodi wana sema bora Tunisia 😂😂😂Na ukute hata na Mamelod wenyewe kuna timu mojawapo za hapa bongo hawatamani kukutana na ayo robo fainal
hapo viwango vyao wote juu 😂😂. petro ni mtu wa hatari sanaSimba tunamtamani Petro Atletico.
ya Angola.
Nina uhakika tutapangiwa naye.
Tushamchoka Al-Ahly
Basi Yanga vs Asechapo viwango vyao wote juu [emoji23][emoji23]. petro ni mtu wa hatari sana
sundowns lazima atapewa mtu wa tz mmojaBasi Yanga vs Asec
Simba vs Atletico
Tp Mazembe vs Al Ahly
Mamelod vs Es Tunis
Shughuli iishe kila mmoja apewe anayemuona kibonde kwake.
Mnajikuta wanajimuu...eti atleast Yanga wanatoka wanatoka wapi..kuweni na akiba ya maneno...Simba hapo atoki . Atleast yanga kwa asec Anatoka home and away . Sema wasali sana
yaani umtegemee chama dhidi ya timu zenye akili timamu kama hizo siku zote mtaishia robo mpk mnyeQUARTER FINAL CHOICES ARE
SIMBA VS PETRO DE LUADA
SIMBA VS AL AHLY
SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS
Chama afanye kitu na huku 😅😅 , Kama ni mwamba kweli