Quarter final ya Simba ni hatari

Quarter final ya Simba ni hatari

Likewise kwa Yanga....

Hizo timu tatu mojawapo ndio watakuwa opponents wa Yanga, sema tu unamtoa Ahly unamuweka Asec...

Jambo la muhimu, Tanzania tuna timu mbili na hakuna taifa jingine si Misri au Tunisia limetusua kupitisha timu mbili...
Hili ni jambo kubwa sana kwa soka la nyumbani. Hakika mpira wetu unakua sasa
 
QUARTER FINAL CHOICES ARE

SIMBA VS PETRO DE LUADA

SIMBA VS AL AHLY

SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS

Chama afanye kitu na huku 😅😅 , Kama ni mwamba kweli
yaani umtegemee chama dhidi ya timu zenye akili timamu kama hizo siku zote mtaishia robo mpk mnye
 
Back
Top Bottom