Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

Ccm wanapenda kuwafanya wenzao wajinga. Kama huyo dada aligombania urais ameteuliwa kua mkuu wa mkoa na amekubali basi ni mdogo sanaaa. Kwa maana nyingine hana sifa ya kua rais [emoji23][emoji23] sidhani kama lisu,mbowe au Maalimu anaweza kushangalia teuzi ndogo kama hii.
 
Ila huyu RC Queen ana uwezo mzuri sana katika kufanya kazi zake.
 
Huyu dada sio mpinzani halisi. Wapinzani halisi lazima waitukane serikali. Kama kina Lissu, Lema na Mbowe.
 
Ccm wanapenda kuwafanya wenzao wajinga. Kama huyo dada aligombania urais ameteuliwa kua mkuu wa mkoa na amekubali basi ni mdogo sanaaa. Kwa maana nyingine hana sifa ya kua rais [emoji23][emoji23] sidhani kama lisu,mbowe au Maalimu anaweza kushangalia teuzi ndogo kama hii.
Lisu hawezi kubali teuzi ndogo maana yupo anakula hela za bure za wazungu. Mbowe ana uhakika wa hela za ruzuku.
 
Back
Top Bottom