Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako hii ili tukupime kama kweli umedhamiria kufanya kazi na wapinzani.

 
Acha kupotosha, hata Anna Mghwira alikuwa kiongozi Serikalini akitokea upinzani.

Huu ni mtego kwake maana atatakiwa kuhamia CCM kama alivyofanya Dkt. Mghwira kwasababu RC yeyote yupo kwenye kamati ya CCM ngazi ya Mkoa.
 
Uko na picha ya Queen tuone?
 
Kuna mikoa Miaka yote inapelekewa wanajeshi, hii mifumo ya kiccm Ni shida tu
 
Huyu mama aligombea urais. Alikuwa anawazungukia kwa mguu akina mama masokoni. Kila wakati katika hotuba zake alikuwa anajipigia promo akimuomba Magufuli amkumbuke kwenye teuzi zake
 
Asante mh.Rais kwa uteuzi huu....

KONGOLE mh.Queen Sendiga👋👋👊👊

Kila la heri kwake Aaamin Aaamin!!!

#TaifaKwanza
 
Jamani msione mtu anasema mpinzani basi mkadhani ni kweli mpinzani hawa wengine wako katika system wana mission tu huko ni kama kina Kafulila CCM na Serikali ina mtandao mkubwa maana huwezi kuniambia CCM yote ile hakuna mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa? Kuna watu wako tu lakini undercover.
 
Ni saikoliji tu.....
ni rahisi sana kuonekana ukiwa chama kidogo cha upinzani....
kuliko ukiwa ndani ya CCM.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…