Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa NEC/halmashauri kuu ya CCM, iwe iwavyo lazima huyu aunge mkono juhudi ili kuweza kumeet criteria za kuwa mjumbe wa necNaona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.
Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako.
Uchaguzi 2020 - Queen Sendiga asema atampa Dkt. Magufuli Uwaziri wa Ujenzi endapo atashinda Urais
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Queen Sendiga, amesema akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akiunda baraza la mawaziri atampa nafasi Rais John Magufuli, kuwa waziri wa ujenzi. Aidha, baada ya kuapishwa atafanya maboresho...www.jamiiforums.com
Wasaliti waliolewa na wazungu waingie kwenye serikali ya Samia?Nimeshaona Rais hawezi kuteua wanasiasa machachari kama Lissu na Lema kwenye serikali yake anaogopa watampasua kichwa.
AmestaafuYule Mama wa kilimanjaro vipi? Yule Bi Anna
UsalamaKuna mikoa Miaka yote inapelekewa wanajeshi, hii mifumo ya kiccm Ni shida tu
Hata Kafulila, Anna Mghwila, Dr. Slaa, Kitila waliteuliwa kwenye serikali ya awamu ya tano wakiwa siyo wanachama wa CCM. Hapo kusema ukweli jipya hakuna.Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.
Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako.
Uchaguzi 2020 - Queen Sendiga asema atampa Dkt. Magufuli Uwaziri wa Ujenzi endapo atashinda Urais
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Queen Sendiga, amesema akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, akiunda baraza la mawaziri atampa nafasi Rais John Magufuli, kuwa waziri wa ujenzi. Aidha, baada ya kuapishwa atafanya maboresho...www.jamiiforums.com
Kinachotakiwa ni uteuzi katika nafasi ya kitaifa ( k.m. Jaji, DPP n.k.) sio za kupakiwa mkoani au ubalozini.Ndio maana nimesema tunaendelea kufutilia lengo likiwa tuone kama kweli kaamua kufanya kazi na wapinzani kama alivyosema.
Kwa mfumo wa sasa huwezi kuwa DC, au RC, ukaendelea kuwa na chama chako cha upinzani, kwani hivyo vyeo vinakufanya kuwa moja kwa moja mwana ccm, kwani kuna vikao vyao lazima uviongoze hapo itakuwaje??Naunga mkono kuwateua watu wowote bila kujali chama gani ilimradi ataleta tija kwenye uendeshaji wa nchi
Aliichukuwa baada ya kupewa uRC. You never know, Sendiga might do the same.Huyo sio ana kadi ya CCM?
Hata hivyo Sendiga ni mwanaccm tangu awali , bali alichomekwa ADC kimkakatiAcha kupotosha, hata Anna Mghwira alikuwa kiongozi Serikalini akitokea upinzani.
Huu ni mtego kwake maana atatakiwa kuhamia CCM kama alivyofanya Dkt. Mghwira kwasababu RC yeyote yupo kwenye kamati ya CCM ngazi ya Mkoa.
Hatimaye promo limetikiHuyu mama aligombea urais. Alikuwa anawazungukia kwa mguu akina mama masokoni. Kila wakati katika hotuba zake alikuwa anajipigia promo akimuomba Magufuli amkumbuke kwenye teuzi zake
[emoji23][emoji23],amerudishwa ili akawatafute waliompiga makofi
Ndio maana nimesema tunaendelea kufutilia lengo likiwa tuone kama kweli kaamua kufanya kazi na wapinzani kama alivyosema.
Promo imemsogeza. Halafu kama kampeni alifanya huko huko iringa tuHatimaye promo limetiki
Nia yake ilikuwa hiyo tu na imetimia. Muda mwingine kujitoa ufahamu,kunawaletea manufaa,japo ni manufaa ya kipuuziHuyu hakuwa mpinzani halisi huyu,mtu ambaye kwenye kampeni alikuwa anajipa promo ateuliwe na Mwendazake,
Hata alipoulizwa tathmini ya Uchaguzi akasema ulikuwa wa haki na bla bla nyingi
Ooooh...Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.
Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako hii ili tukupime kama kweli umedhamiria kufanya kazi na wapinzani.