Queen Cuthbert Sendiga wa ADC ndio kawa mnawanasiasa wa kwanza kutoka upinzani na kutumika Serikali akiwa wanachama wa chama cha upinzani

Nimeshaona Rais hawezi kuteua wanasiasa machachari kama Lissu na Lema kwenye serikali yake anaogopa watampasua kichwa.
 
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako.

Mkuu wa mkoa ni mjumbe wa NEC/halmashauri kuu ya CCM, iwe iwavyo lazima huyu aunge mkono juhudi ili kuweza kumeet criteria za kuwa mjumbe wa nec
 
Nimeshaona Rais hawezi kuteua wanasiasa machachari kama Lissu na Lema kwenye serikali yake anaogopa watampasua kichwa.
Wasaliti waliolewa na wazungu waingie kwenye serikali ya Samia?
 
Sijui Kwa nini kamrudisha pale pale alipopigwa makofi.

FB_IMG_1621078349165.jpg
 
Kila mtu aijenge nchi yake katika uwezo ambao Mungu alimpa,

Natamani Mzee Lipumba Apewe nafasi naye aonyeshe makeke yake ktk kulijenga Taifa Kwa vitendo, ikiwezekana na Mzee Prof Safari atafutiwe kinafasi wapige kazi, Mbowe naye awekwe hata Kwenye kakitengo Ka ukuu wa wilaya aoneshe mfano jinsi inavyotakuwa kiongozi awe
 
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako.

Hata Kafulila, Anna Mghwila, Dr. Slaa, Kitila waliteuliwa kwenye serikali ya awamu ya tano wakiwa siyo wanachama wa CCM. Hapo kusema ukweli jipya hakuna.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono kuwateua watu wowote bila kujali chama gani ilimradi ataleta tija kwenye uendeshaji wa nchi
Kwa mfumo wa sasa huwezi kuwa DC, au RC, ukaendelea kuwa na chama chako cha upinzani, kwani hivyo vyeo vinakufanya kuwa moja kwa moja mwana ccm, kwani kuna vikao vyao lazima uviongoze hapo itakuwaje??
 
Acha kupotosha, hata Anna Mghwira alikuwa kiongozi Serikalini akitokea upinzani.

Huu ni mtego kwake maana atatakiwa kuhamia CCM kama alivyofanya Dkt. Mghwira kwasababu RC yeyote yupo kwenye kamati ya CCM ngazi ya Mkoa.
Hata hivyo Sendiga ni mwanaccm tangu awali , bali alichomekwa ADC kimkakati
 
Huyu mama aligombea urais. Alikuwa anawazungukia kwa mguu akina mama masokoni. Kila wakati katika hotuba zake alikuwa anajipigia promo akimuomba Magufuli amkumbuke kwenye teuzi zake
Hatimaye promo limetiki
 
Huyu hakuwa mpinzani halisi huyu,mtu ambaye kwenye kampeni alikuwa anajipa promo ateuliwe na Mwendazake,

Hata alipoulizwa tathmini ya Uchaguzi akasema ulikuwa wa haki na bla bla nyingi
 
sisi watu wa iringa huwa tunachukuliwaje ? mara nyingi tumekuwa tukiletewa viongozi wanawake??
 
Wapinzani wa vyama UCHWARA Mkuu ili kuonyesha anakubalika na vyama vya upinzani isipokuwa wakorofi wa Chadema.
Ndio maana nimesema tunaendelea kufutilia lengo likiwa tuone kama kweli kaamua kufanya kazi na wapinzani kama alivyosema.
 
Huyu hakuwa mpinzani halisi huyu,mtu ambaye kwenye kampeni alikuwa anajipa promo ateuliwe na Mwendazake,

Hata alipoulizwa tathmini ya Uchaguzi akasema ulikuwa wa haki na bla bla nyingi
Nia yake ilikuwa hiyo tu na imetimia. Muda mwingine kujitoa ufahamu,kunawaletea manufaa,japo ni manufaa ya kipuuzi
 
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.

Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana(2020) na sijui kama amewahi kutangaza kujiunga na CCM kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli ambapo ilikuwa ni shariti mtu ajiunge na na CCM(aunge mkono juhudi) kabla mtu huyo kupewa uteuzi.

Haya Mama tunaendelea kufutatilia utekelezaji wa ahadi yako hii ili tukupime kama kweli umedhamiria kufanya kazi na wapinzani.

Ooooh...
Kumbe ndio huyu. Huyu shangazi alikua poa sana na ana hoja nzuri.
 
Back
Top Bottom