Queen tangu kodi imshinde kawa mpole vijembe kwa mke mkubwa vimeisha, hela tu ya diapers za mtoto Hana, according to shilawadu
We kweli madenge...ili jukwaa ni la watu maarufu...yani hata akijamba tu wenzio wanamuandika..ss ww na maadili yako mpelekee mwalimu wa nidhamu umu ni ubuyu tu...wenzio kama hatuwaelewi tunajikataa ki-j-mo tunawaachia na umbea wao!Sawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
Kabla ya hapo walikatiwa maji wiki mbili wanahaha kuyarudisha.
Queen alizidi mashauzi full kumrusha bi mkubwa wakati hela za isihaka zinatoka kwa bi mkubwa.
Ila Zari kauzu sana,kaja bongo hata kwenda kumuona mzazi queen waaapiii,bila kusahau kwa yuda aiseee
Duh noma Sana show off zitawa cost Sana Hawa wasanii njaa yao ni Kali na huyo queen darling hata kuimba hajuiSi muajiriwa wa wasafi huyo!!? Hapo ndo msemo wa waja unapotimia wanasema pale njaa sana ila ujanja wako tu unaweza kukusaidia. Vanny boy nae alipanga ghorofa kodi awamu moja tu ikamshinda
Iyobo mpaka kala mtoso kwa aunt,pesa tatizo
Lukamba choka mbaya mke anamsaidia napo zipu mbovu
Queen itakua alienda, yule anamkubal sana Zari
Duh noma Sana show off zitawa cost Sana Hawa wasanii njaa yao ni Kali na huyo queen darling hata kuimba hajui
Haaaaa haloooooSawa upo sahihi kwa akili zako,ila ni ujinga kuanza kufuatilia maisha ya mtu anavyoishi na utabaki kuwa mjinga kama hutabadilika.......akipanga Mbagala,Mbezi au Tandale we inakusaidia nini?
Wanafunzi wa chuo mna akili fupi Sana.Billionea Tanzania ni Muhammed dewji tuu tena ndio billionea pekee Africa mashariki na Kati. Bakhresa ni millionaire. Tafuta takwimu Kwanza . Hata kwenye wa Tanzania Mondi hayumo kwenye list. Mondi sio billionea.
Una akili fupi Sana tena umenishusha mno Mimi sio mwanafunzi wa chuo. Chuo niliahamaliza miaka mingi Sana . Tunaposema billionaire tunahesabu in Us dollars Sio in Tanzania shillings. Pesa yetu haina thamani. Kwa nchi kama Zimbabwe basi utaenda ukaone billionaire wengi kuzidi Hata kuzidi developed countries kutokana na fedha Yao kushuka thamani SanaWanafunzi wa chuo mna akili fupi Sana.
Pale kariakoo Kuna watu kibao wana hizo Bilion Kama upupu na Wala hawajitangazi.
Nenda Geita uone vijana wadogo mabilionea wa madini.
Shuka Tunduma uone mabilionea.
Nenda kwenye mabonde ya Usangu uone mabilionea.
Hivi yule laizer aliepata tanzanite ya Bilion 3 sio Bilionea?
Tatizo mnakaa kwa masheji zenu mnaangalia Forbes wakitoa list za matajiri TANZANIA mnabaki kuona watu wote sio mabilionea.
Pumbav wewe TANZANIA inakosa watu wenye dola 500,000 hiyo si ndio Bilion 1 kwa tsh.Una akili fupi Sana tena umenishusha mno Mimi sio mwanafunzi wa chuo. Chuo niliahamaliza miaka mingi Sana . Tunaposema billionaire tunahesabu in Us dollars Sio in Tanzania shillings. Pesa yetu haina thamani. Kwa nchi kama Zimbabwe basi utaenda ukaone billionaire wengi kuzidi Hata kuzidi developed countries kutokana na fedha Yao kushuka thamani Sana
Nimeona millen kaanza mvalisha Zari, Zari na Noel ni mashost wa mda mrefu sana
Kwani Yule mwanaume naye ni pangu pakavu!! Mi nlijua kaongeza mke mambo yake mazuri....mfyuuu!Muziki bongo hauna hela wasanii ukiona Wana show off Ila Wana Hali mbaya ya kiuchumi wengi walikuwa mapunda Tu mjini. So queen naye njaa Kali hafu show off nyingi Mara harusi baby shower arobaini tu ya mwanawe alikopa, hafu why ukaishi kwenye nyumba expensive huku kipato majanga. Hela tu ya pampasi Hana ananunua za mia tano
πππππ asnte .!! Priyanka chopra sharukansi nilisikia wale ni wahindi hivyo basi haishangazi kurudi kwao na kuishi pamoja.
asma khan devgan
abdul nasib khan kajol
DJ khan pretty zintah
mama mdebwedo khan uzee mwisho kwa amrish purrrr
Hii ndio bongo aisee π€£π€£π€£Siku hizi mtu analaumiwa hata kwa uamuzi binafsi wa maisha yake!
Mo ni bilionea wa US $...ni wabongo wachache sana wanaoweza kufikia kiwango cha ubilionea wa $.Pumbav wewe TANZANIA inakosa watu wenye dola 500,000 hiyo si ndio Bilion 1 kwa tsh.
Ndio maana nakwambia hauna exposure tembea uone zwazwa wewe.