Black hermit
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 658
- 951
Wahenga huwa wanasema mwanamke akikosa akili lazima sehemu zake nyeti zitaumia, sijaona shida acha aumize sehemu zake za secret.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unashangaa nini mkuu?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aliyewaroga kafaTatizo Wanawake wanajua kukaa uchi ndiyo kupendeza
Naona eme edit picha. Nime ku quote afu post ikapote.View attachment 538117hapa vipi?
Kumbe single mazaSishangai why ni single mother
Wanaweka jumla kabisa maana wao wengine wanapenda maisha ya kisela kiasi kwamba mwanamke mwenye staha anaona kama atamnyima uhuruHivyo ni waoaji au watamanaji! Baada ya kudunda zigo bado wanang'ang'ania!?!
Nilijua ni ajuzaunashangaa nini mkuu?
Khaa![emoji134]View attachment 538117hapa vipi?
Hata hivyo umri umesongaNilijua ni ajuza
Sio sote wangine tunaheshima zetu, baadhi yaoTatizo Wanawake wanajua kukaa uchi ndiyo kupendeza
Hapa sina doubt, lakini anaonekana amezeeka wakati ni mdogo kabisa....View attachment 538117hapa vipi?
[emoji15] [emoji15] mpaka leo hajafika 30? Tangu enzi zile za "je wanipenda" na alikiba mpaka leo! Wakati diamond, ni mdogo kwake ama kweli kuwa uyaone..unashangaa nini mkuu?
he he he aiwezekani nakwMbia aiwezekani qd tako lote ilo kaltolea ap?View attachment 538117hapa vipi?