GE2025 Queen Darlin: Mungu angenipa uongozi ningewavunja vunja na ningewakata kata mnaotaka kuandamana, Mpeni Samia kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda

​
 
Dkt. Gwajima D imagine huyu ni mwanamke anaongea maneno haya, hivi katika ngazi yake ya familia haya anayoyaongea si anayaakisi anayoyafanya katika ngazi ndogo ya familia yake..

#kataa ukatili
 
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
Ndiyo maana hukupewa uwezo huo, kwa sababu hata uwezo wa kufikiri huna. Samia amefanya mengi gani? Kuteka, kutesa na kuua watanganyika wasio na hatia. Wewe ni mpumbavu kama kaka yako huyo Dai, na huyo baba yenu anayeropoka ropoka ovyo. Hata huelewi kuwa kupinga na maandamano yapo kwa mujibu wa katiba? Upo unaendeleza uchawa fala wewe.
 
Huyu amejitoa rasmi kupanda jukwaani ku perform.
Unawafokea waandamanaji ambao ndo haohao huandamana hadi ukumbini na kusimama mbele kabisa kumsikiliza,hivi tukimaliza hili ombwe watashindwa kumrushia chupa za mikojo jukwaani siku wakikutana ukumbini ?
 
Back
Top Bottom