Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kwanini hatujaenda kumsalimia?Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda