UMepewa uongozi,wa kuchezea mabolo, kuyakatikia ridhika na huo.Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
Uchawa unalipa
Ndio maana mama Diamond hampendi.Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
Tunatunza kumbukumbuHata kama sio tarehe 29 ipo siku atajuta kwanini aliongea hivi
Hivi wewe una akili kweli? Unatulazimisha tumchague Samia? Nani anamtaka huyo mpumbavu? Takataka asiyejua anayoyafanya mjinga huyo....HATUMTAKI HATA KIDOGO, HAFAI, HANA ELIMU NA HAJUI ANALOFANYA, anachojua kufanya ni kuteka, kubaka, kulawiti, kupoteza na kuua na kuchezea maiti (Mutilation). Hatumtaki huyo Samia na usitulazimishe tumchague huyo mjinga.Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
Tumlaumu Ally Kiba kwanini hakumla nyashi kipindi kile?Msanii wa muziki wa Bongo fleva Queen Darlin amesema laiti Mungu angempa uongozi basi wale wanaopanga kujiandaa Oktoba 29, 2025 angewakata kata na kuwavunja miguu akidai Rais Samia ametekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya maji na viwanda
WEWE TAKATAKA na wenzio vipi bado mnasema hakuna maandamano?Usijali atakae andamana atapewa dozi sawa na ugonjwa anaoumwa.
Siku hazigandiAtajibiwa kwa vitendo.....muda ni mwalimu mkuu
🤣🤣🤣😅Tunatunza kumbukumbu