Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!".
Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano.
Kupitia mahojiano yake, Queen Masanja amesema hana tena imani na uhusiano na Vijana wa kizazi kipya, akisema wanampa msongo wa mawazo na kwamba bora amrudie Mume wake wa zamani kuliko kuendelea na uhusiano usiyo na tija.
"Bora kurudi kwa Mume wangu kuliko hawa vijana wa siku hizi, vijana ni pasua kichwa sitaki hata kuwasikia kabisa." amesema Queen Masanja kwa msisitizo.
Kauli hiyo imekuja kufuatia taarifa zilizosambaa mitandaoni kwamba penzi kati yake na Msanii mwenza Quick Rocka limevunjika rasmi, ingawa hakuna mmoja wao aliyethibitisha wazi kuhusiana na hilo.
Nimeamini wanawake wenye makalio makubwa huo hawana akili kabisa anajiamulia kurudi kwa mumewe badala aende kwa mashakhe wake wakamle ndogo tena