Mtepetallah
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 230
- 131
Mkuu tupo pamoja.LEGE njoo utusalimie kidogo inatosha tu
Mkuu LEGE heshima yako.....salaaamMkuu tupo pamoja.
Story bado inatungwa ila ndio ipo ipo mwishoni mwa season 4 ikikamilika hata iwe saa 8 usiku nitaibwaga hapa.
Sio now na zingua hata mwanzo ilikuwa ni hivi hivi but nilikuwa naweka kidogo kidogo ili mpaka inapofika mwisho nyingine inakuwa tayari ishakamilika
Fanya ivyoivyo mkuu weka kile unachokipata anaetaka yote kwa pamoja asubiri ikiisha ataanzia alipoishia, nawakilisha:Mkuu tupo pamoja.
Story bado inatungwa ila ndio ipo ipo mwishoni mwa season 4 ikikamilika hata iwe saa 8 usiku nitaibwaga hapa.
Sio now na zingua hata mwanzo ilikuwa ni hivi hivi but nilikuwa naweka kidogo kidogo ili mpaka inapofika mwisho nyingine inakuwa tayari ishakamilika
Umeeleweka Mkuu twangoja kwa shauku.Mkuu tupo pamoja.
Story bado inatungwa ila ndio ipo ipo mwishoni mwa season 4 ikikamilika hata iwe saa 8 usiku nitaibwaga hapa
Sio now na zingua hata mwanzo ilikuwa ni hivi hivi but nilikuwa naweka kidogo kidogo ili mpaka inapofika mwisho nyingine inakuwa tayari ishakamilika
Umeeleweka Mkuu twangoja kwa shauku.
Sie tunataka za kijasusi za mapenzi kasome mwenyeweWakuu kupunguza arosto mtafuteni jamaa anajiita story za eddy yupo pouwa sana ana web yake ila za mapenz sanaa
Legs legelege kweli huyu kalegea kabisa!Lege.... wiki 2.. ishafika tyr.. fanya mambo basi..