QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Kweli binDamu hatuna wema Yaani kwa ukarimu anaotufanyia lege Leo mnamtukana!!!!!!

Lege Achana malimbukeni wasiojitambua, season 4 ikikamilika we ilete hata ikichukua mwaka atakayetaka atasoma hataki basi.
 
LEGE njoo utusalimie kidogo inatosha tu
Mkuu tupo pamoja.
Story bado inatungwa ila ndio ipo ipo mwishoni mwa season 4 ikikamilika hata iwe saa 8 usiku nitaibwaga hapa.

Sio now na zingua hata mwanzo ilikuwa ni hivi hivi but nilikuwa naweka kidogo kidogo ili mpaka inapofika mwisho nyingine inakuwa tayari ishakamilika
 
Mkuu LEGE heshima yako.....salaaam
 
Mkuu tupo pamoja.
Story bado inatungwa ila ndio ipo ipo mwishoni mwa season 4 ikikamilika hata iwe saa 8 usiku nitaibwaga hapa.

Sio now na zingua hata mwanzo ilikuwa ni hivi hivi but nilikuwa naweka kidogo kidogo ili mpaka inapofika mwisho nyingine inakuwa tayari ishakamilika
Fanya ivyoivyo mkuu weka kile unachokipata anaetaka yote kwa pamoja asubiri ikiisha ataanzia alipoishia, nawakilisha:
 
Mkuu tupo pamoja.
Story bado inatungwa ila ndio ipo ipo mwishoni mwa season 4 ikikamilika hata iwe saa 8 usiku nitaibwaga hapa

Sio now na zingua hata mwanzo ilikuwa ni hivi hivi but nilikuwa naweka kidogo kidogo ili mpaka inapofika mwisho nyingine inakuwa tayari ishakamilika
Umeeleweka Mkuu twangoja kwa shauku.
 
Wakuu kupunguza arosto mtafuteni jamaa anajiita story za eddy yupo pouwa sana ana web yake ila za mapenz sanaa
 
Back
Top Bottom