mkuu kila season inagharimu 3000Mkuu hiyo 3000 ni kwa season zote zilizobakia au moja..???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kila season inagharimu 3000Mkuu hiyo 3000 ni kwa season zote zilizobakia au moja..???
Kwahiyo mkuu ndo mmewatosa watu kutupia humu?Nimecheck na jamaa na kumtumia mkwanja hivi nasubiri kiukweli tuwape support hawa binadamu. Tena kuhusu ibra jamani walau atokee mtu aanzishe centre tuweze japo kutoa rambirambi zetu itakuwa jambo la msingi sana.
Itawekwa lakini si leo wala kesho, tumchangie kwanza mwandishi.Kwahiyo mkuu ndo mmewatosa watu kutupia humu?
Season ya 6 kisha ipo final ambayo sijui mtunzi atatoa tozo la kiasi ganiMkuu hiyo 3000 ni kwa season zote zilizobakia au moja..???
Hapana siujui utaratibu wa lege atafanyaje ila naimani ataweka japo sio kwa waqt huu.Kwahiyo mkuu ndo mmewatosa watu kutupia humu?
So we unayo mkuu?Hapana siujui utaratibu wa lege atafanyaje ila naimani ataweka japo sio kwa waqt huu.
Yaah alinitumia jana ninayoSo we unayo mkuu?
Kiongozi tafadhari fanya kama vile umejisahau tupia walau sehemu 9 nyingine huyu mkuu Lege sidhani kama anafikiria kuja kufanya tena hii kitu tana hapa
Kwani wewe inakuongezea au kukupunguzia nini, we ndo mjinga unaetukana mtu ambaye humfahamuAcha ujinga wewe, yani una copy uzi wote na kila siku watu wanalalamika lakini akili mgando huelewi
Huyu jamaa hana longo longo, ni tit 4 tat! Nimemtumia mda huo huo kitu kikaitika!Wadau 0764294499, wasiliana na hii namba na umwambie unataka season 6 unamtumia pesa unampa namba unayotumia whatsapp, anakupa mzigo bila kuchelewa. Huyu ni mwandishi wa hii stori anaitwa PATRICK KIFURU ndo jina litakalotokea baada ya malipo..Tumchangie wadau, na kaniambia Season 7 ambayo ni ya mwisho wiki ijayo itakuwa tena hewani...Tuwasapoti hawa watu, maana kazi zao ni nzuri.
Mchangie mkuu nami leo nimemchangia akanitumia whasap nimeisoma hadi nikaimaliza nangojea season 7 wiki ijayo kasema.Ngoja nami nimchangie, maana fursa hii nimeivizia kwa muda mrefu sana.
Hautakiwiii ulalamike unatakiwa utume mkuu ili ufurahie story buku 3 tu ungekuwa kumtumia demu vocha saa nyingi ungeshatuma ha ha ha haMnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
[emoji2] [emoji2]QUEEN MONICA SEASON 6 IKO TAYARI
Mkuu usicheke tumeni ela mtumiwe na nyie msome.[emoji2] [emoji2]