QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Wadau 0764294499, wasiliana na hii namba na umwambie unataka season 6 unamtumia pesa unampa namba unayotumia whatsapp, anakupa mzigo bila kuchelewa. Huyu ni mwandishi wa hii stori anaitwa PATRICK KIFURU ndo jina litakalotokea baada ya malipo..Tumchangie wadau, na kaniambia Season 7 ambayo ni ya mwisho wiki ijayo itakuwa tena hewani...Tuwasapoti hawa watu, maana kazi zao ni nzuri.
 
Nimecheck na jamaa na kumtumia mkwanja hivi nasubiri kiukweli tuwape support hawa binadamu. Tena kuhusu ibra jamani walau atokee mtu aanzishe centre tuweze japo kutoa rambirambi zetu itakuwa jambo la msingi sana.
Kwahiyo mkuu ndo mmewatosa watu kutupia humu?
 
Kiongozi tafadhari fanya kama vile umejisahau tupia walau sehemu 9 nyingine huyu mkuu Lege sidhani kama anafikiria kuja kufanya tena hii kitu tana hapa

Acha ujinga wewe, yani una copy uzi wote na kila siku watu wanalalamika lakini akili mgando huelewi
 
Kwani wewe inakuongezea au kukupunguzia nini, we ndo mjinga unaetukana mtu ambaye humfahamu
 
Wadau 0764294499, wasiliana na hii namba na umwambie unataka season 6 unamtumia pesa unampa namba unayotumia whatsapp, anakupa mzigo bila kuchelewa. Huyu ni mwandishi wa hii stori anaitwa PATRICK KIFURU ndo jina litakalotokea baada ya malipo..Tumchangie wadau, na kaniambia Season 7 ambayo ni ya mwisho wiki ijayo itakuwa tena hewani...Tuwasapoti hawa watu, maana kazi zao ni nzuri.
Huyu jamaa hana longo longo, ni tit 4 tat! Nimemtumia mda huo huo kitu kikaitika!

Hapa nasubiri season 7 kasema inatoka wk ijayo!
 
Ngoja nami nimchangie, maana fursa hii nimeivizia kwa muda mrefu sana.
 
Mnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
 
Hautakiwiii ulalamike unatakiwa utume mkuu ili ufurahie story buku 3 tu ungekuwa kumtumia demu vocha saa nyingi ungeshatuma ha ha ha ha
 
QUEEN MONICA SEASON 6 IKO TAYARI
 
Attachments

  • Screenshot_20170707-211609.png
    Screenshot_20170707-211609.png
    15.2 KB · Views: 215
Back
Top Bottom