Kijuram
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 513
- 374
Labda hawaamini, ebu waangalie hapa mwenye story mwenyewe alivyoandika;Mkuu usicheke tumeni ela mtumiwe na nyie msome.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hawaamini, ebu waangalie hapa mwenye story mwenyewe alivyoandika;Mkuu usicheke tumeni ela mtumiwe na nyie msome.
Mnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
Lege ndo mwenye right ya kuleta story apo maana story ipo protected na si mbaya kuchangia kidogo kwan tunamwezesha uyu jamaa na nna uhakika lege na mwandishi walikuwa na makubaliano haya kwamba ikifika kwenye utam jamaa achelewe kuweka ili tumchangie kwanza jamaaa sasa ivi ataweka maana kaishaonekana mm ngoja nisubir season 7 maana nshamchangia..Ningeweza kuiweka story maana nimenunua...lakni so vizuri tumchangie mshikaji Efu tatu{3000} ambapo naona reasonable price mtu yeyote humu anaweza ku afford kutoa.
Tumchangie tu Hakuna namnaLege ndo mwenye right ya kuleta story apo maana story ipo protected na si mbaya kuchangia kidogo kwan tunamwezesha uyu jamaa na nna uhakika lege na mwandishi walikuwa na makubaliano haya kwamba ikifika kwenye utam jamaa achelewe kuweka ili tumchangie kwanza jamaaa sasa ivi ataweka maana kaishaonekana mm ngoja nisubir season 7 maana nshamchangia
Nishamchangia na tayari nimeshasoma yote.Mchangie mkuu nami leo nimemchangia akanitumia whasap nimeisoma hadi nikaimaliza nangojea season 7 wiki ijayo kasema.
Lege hi id, we sio ndo mwandishi mwenyewe,[emoji16]Pole sana mkuu.
Mm nilikuwa nawaambia mnao enda jikoni msituharibie sie wa hapa jf mwishowe imekuwa hivyo.wale mlio kuwa mnalalamika sana fanyeni basi mtupie hapa basi mwendelezo.
Niliamua kukaa kimyaa.
kwani mngemfuata mtunzi na kumchangia kimya.kimya bila kusema kuwa hii story ipo humu mngepungukiwa na nini.
Hana longo longo,unatuma mpunga anakutumia file period....ametisha sana kwa hili.Jamaa ni wa ukweli. Ndani ya dakika moja mzigo wote kashautuma
Kwani wewe inakuongezea au kukupunguzia nini, we ndo mjinga unaetukana mtu ambaye humfahamu
Tunamchangia jamaa yuko vizuri sana aisee bonge ya mwandishiWakuu hii story ni nzuri ni bora mkamchangia jamaa elfu 3 tu jamani
Jielewe basi, kuna mtu katukana zaidi ya kuhamasisha kuchangia kazi za watunzi...Wengi tumeguswa na msiba wa Ibrahim Masimba aka Ibra87.. na ndo maana tunahamasisha kumchangia mwandishi...Kama wewe hutaki kuchangia kaa kimya tu kuliko kuja na maneno yako yasiyo na staha.Mnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
[emoji15] [emoji15]So bado unajiona uko sahihi siyo? Sasa uje urudie tena ndipo utajua kilicho mfanya mtu akane u DAB
Pole sana mkuu.
Mm nilikuwa nawaambia mnao enda jikoni msituharibie sie wa hapa jf mwishowe imekuwa hivyo.wale mlio kuwa mnalalamika sana fanyeni basi mtupie hapa basi mwendelezo.
Niliamua kukaa kimyaa.
kwani mngemfuata mtunzi na kumchangia kimya.kimya bila kusema kuwa hii story ipo humu mngepungukiwa na nini.