QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Mkuu usicheke tumeni ela mtumiwe na nyie msome.
Labda hawaamini, ebu waangalie hapa mwenye story mwenyewe alivyoandika;

IMG_20170707_233002_354.JPG
 
Pole sana mkuu.
Mm nilikuwa nawaambia mnao enda jikoni msituharibie sie wa hapa jf mwishowe imekuwa hivyo.wale mlio kuwa mnalalamika sana fanyeni basi mtupie hapa basi mwendelezo.

Niliamua kukaa kimyaa.
kwani mngemfuata mtunzi na kumchangia kimya.kimya bila kusema kuwa hii story ipo humu mngepungukiwa na nini.
Mnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
 
..Ningeweza kuiweka story maana nimenunua...lakni so vizuri tumchangie mshikaji Efu tatu{3000} ambapo naona reasonable price mtu yeyote humu anaweza ku afford kutoa.
 
Lege ndo mwenye right ya kuleta story apo maana story ipo protected na si mbaya kuchangia kidogo kwan tunamwezesha uyu jamaa na nna uhakika lege na mwandishi walikuwa na makubaliano haya kwamba ikifika kwenye utam jamaa achelewe kuweka ili tumchangie kwanza jamaaa sasa ivi ataweka maana kaishaonekana mm ngoja nisubir season 7 maana nshamchangia
 
Tumchangie tu Hakuna namna
 
Watu bhana yani mnapewa bure kuanzia season ya 1 hadi ya tano mnashindwa kuchangia kupata season ya 6..???[emoji30]
 
Pole sana mkuu.
Mm nilikuwa nawaambia mnao enda jikoni msituharibie sie wa hapa jf mwishowe imekuwa hivyo.wale mlio kuwa mnalalamika sana fanyeni basi mtupie hapa basi mwendelezo.

Niliamua kukaa kimyaa.
kwani mngemfuata mtunzi na kumchangia kimya.kimya bila kusema kuwa hii story ipo humu mngepungukiwa na nini.
Lege hi id, we sio ndo mwandishi mwenyewe,[emoji16]
 
Kwani wewe inakuongezea au kukupunguzia nini, we ndo mjinga unaetukana mtu ambaye humfahamu

So bado unajiona uko sahihi siyo? Sasa uje urudie tena ndipo utajua kilicho mfanya mtu akane u DAB
 
Wakuu hii story ni nzuri ni bora mkamchangia jamaa elfu 3 tu jamani
 
Mnabaaaana kurusha humu ndani......ila kumbukeni Lege ndio mwanzilishi wa huu uzi humu ndani.....ila hana maneno ya kwenye kanga km yenu!!...km unamtaka mtu achangie bs mweleze vzr.....kuliko kuleta shombo na kabuku tatu kako hako na matusi juu!!!
Jielewe basi, kuna mtu katukana zaidi ya kuhamasisha kuchangia kazi za watunzi...Wengi tumeguswa na msiba wa Ibrahim Masimba aka Ibra87.. na ndo maana tunahamasisha kumchangia mwandishi...Kama wewe hutaki kuchangia kaa kimya tu kuliko kuja na maneno yako yasiyo na staha.
 
Pole sana mkuu.
Mm nilikuwa nawaambia mnao enda jikoni msituharibie sie wa hapa jf mwishowe imekuwa hivyo.wale mlio kuwa mnalalamika sana fanyeni basi mtupie hapa basi mwendelezo.

Niliamua kukaa kimyaa.
kwani mngemfuata mtunzi na kumchangia kimya.kimya bila kusema kuwa hii story ipo humu mngepungukiwa na nini.

MIJITU NI MISEMGEREMA SANA MKUU
TTZ UNUAJI MWINGI NA KUPENDA SIFA
NDO HIVYO TENA WASHATUHARIBIA
SO MKUU LEGE TAFUTA CHIMBO LINGINE
 
Bure gharama wakuu....tiririsheni michango kwa muandishi.
 
Back
Top Bottom