Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapost Leo au mpaka kesho?poleni sana wakuu pamoja sana mambo yanaingiliana
sijaona wekanishaweka mkuu vipi huzioni??
Kweli muendelezo nimeuona.Marcelo mahusiano yako mashakani.Kutoka kuwa husband to be mpaka kuwa rafiki wa kawaida shughuli pevu!ina maana hujaziona mpaka sasa mkuuy
Hata mimi nadhani huyu mama Monica a.k.a Bi. Janet anahusika kwa asilimia zote, lazima alimtuma Bakari akapekue kwa Dr. Marcelo. Sijui Monica akigundua itakuaje.Mama monica anahusika
Naanza kuwa na wasiwasi na mama moni aseeMama monica anahusika
Hahaha mkuu, mimi nampenda sana Peniela pamoja na yote aliyoyafanya, yule mtoto sio mchezo, ananibamba mbaya. Ana sifa zote ninazohitaji. Love you Penny!!Mama monica ni mchawi kabisa yaani ameniuzi ngoja nikamsalimie Peniela yule hana wazazi kwaiyo uchawi kwao hakuna ila duh anagawa kama pipi mtoto yule
kitambo sana mkuuKwani peniela iliisha?