QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Jamaa amekausha jumla, hasemi chochote. Mwanzo alikua anakuja japo kutujulisha kwamba ana tatizo hivyo tuvute subira, tofauti na sasa ambapo amepotea kabisa. LEGE popote ulipo, kama umepata matatizo tunakuombea sana, lakini kama uko salama tunaomba ujitahidi uje huku utushushie muendelezo.
 
Uvumilivu [emoji297][emoji4][emoji297][emoji297][emoji4][emoji297][emoji16][emoji297]
 
Hahaha mkuu, mimi nampenda sana Peniela pamoja na yote aliyoyafanya, yule mtoto sio mchezo, ananibamba mbaya. Ana sifa zote ninazohitaji. Love you Penny!!
Hahhahaaa nitakutumia namba yake
 
Kuna mtu kamloga mkuu LEGE, mbona majukumu yanamzidi mpaka anatusahau?
 
Kuna mtu kamloga mkuu LEGE, mbona majukumu yanamzidi mpaka anatusahau?
Ni makusudi na maringo tu
APA ukute anatuchora na acc nyingine na kujifanya mmoja wa wanataka story,
Ana
Unaah Huyu
Kila akiweka story matatizo , wakati ukitizama mahudhurio yake huko nyuma sii hivi
Acha unaa
Luge
 
Back
Top Bottom