usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenuLege usipowek leo nakushtakia kwa wachawi na walozi wote wakiongozwa na Mshana jr wakutoe busha tu maana hamna namna sasa. Ntapita hapa saa mbili usiku kama bado naita kamati yangu
Jaman mai wiii ww ungeniita halaf uone kama sitapendanitakuita wiii najua haupendi mm ndio nilipoweka nanga huku yaan hili ndio jukwaa langu zipo nyingi tu utanikuta
nitakutana nazo asbhusinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
nisamehe wii umeshaianza au badoJaman mai wiii ww ungeniita halaf uone kama sitapenda
Siku moja mtengenezage series basi jaman ina maana sisi hatuwezi ama nnusinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
Yesuuu wifi nmeisomajenisamehe wii umeshaianza au bado
safi sana tafuta nyingine huku tunamsubili lege inaitwa baradhuli na nyingine pia jina limenitoka n nzrYesuuu wifi nmeisomaje
Nmeinyaka asbh
Kila nlipokuwa napata chance kibaruan nasoma
Muda wa chakula hadi nkajisahau kula
Nmeshaimaliza niko na nyie ss
Hahahahahaha kwa comment hii, hapa story inawekwa saa 8. Ngoja nilale tu.usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
hahahhaha mkuu kesheni JF jukwaa la entertainment maana hamjui siku wala saa lege atakapo weka storyKwa iyo lege tusubiri tukeshe au tulale. Maana Mimi nilikuwa nasubiria kauli Yako nilale lege. Tupe mrejesho na pole na majukumu ya hapa na pale. Na sisi pia ni jukumu lako lege.
Sawa mai wii na ahsante ntaicheki kesho nahis kama kusinziasafi sana tafuta nyingine huku tunamsubili lege inaitwa baradhuli na nyingine pia jina limenitoka n nzr
okay my wii usiku mwema mwenyewe najiandaa kulalaSawa mai wii na ahsante ntaicheki kesho nahis kama kusinzia
Kwa hali hii lege i am swear from ma heart sito kaa nikuqmini tena na sito kaa nikuachie, ntaendelea kukufuatilia bila ya imanihakika sito waangusha .imani yako izidishe mara 100 kwangu
Mida ya wanga bhado?usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu