QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Lege usipowek leo nakushtakia kwa wachawi na walozi wote wakiongozwa na Mshana jr wakutoe busha tu maana hamna namna sasa. Ntapita hapa saa mbili usiku kama bado naita kamati yangu
usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
 
usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
nitakutana nazo asbh
 
usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
Siku moja mtengenezage series basi jaman ina maana sisi hatuwezi ama nn
Maana stori tamu kama nn
Nataman nngekuwa nmekaa naingalia halaf najisemea swadakta mazao ya JF haya
 
Kwa iyo lege tusubiri tukeshe au tulale. Maana Mimi nilikuwa nasubiria kauli Yako nilale lege. Tupe mrejesho na pole na majukumu ya hapa na pale. Na sisi pia ni jukumu lako lege.
 
Yesuuu wifi nmeisomaje
Nmeinyaka asbh
Kila nlipokuwa napata chance kibaruan nasoma
Muda wa chakula hadi nkajisahau kula
Nmeshaimaliza niko na nyie ss
safi sana tafuta nyingine huku tunamsubili lege inaitwa baradhuli na nyingine pia jina limenitoka n nzr
 
usinifanyie hivyo mkuu tafadhali sana wambie wastop naweka vitu hata ikiwa mida ya wanga nitajitahidi kuweka mambo.ili kesho week end iwe nzuri kwenu
Hahahahahaha kwa comment hii, hapa story inawekwa saa 8. Ngoja nilale tu.

LEGE jitahidi uweke, tutaamka nayo.
 
Hii story ilikuwa ndio "njia kuu yangu" ila nimeshindwa kubaki "njia kuu", ngoja nitafute "mchepuko" kwingine!
 
Back
Top Bottom