QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

Povu la nini ?
 
Mbona una hasira kama mwanamke aliyelimwa talaka na mume ambaye bado anamtegemea kwa kila kitu mkuu?
Hayo yatakua yamekufika wewe apo ndo maana unayajua. Mwenzio hata mpango wa kuwa na mume bado sina...., poleee we uliyewahi hata na kuolewa. Nikitaka kuolewa ntakutafta unipe kitchen paty basi[emoji23]
 
Hivi wewe jackass hujishangai ambavo kila mtu anakushangaa wewe???? Khaa watu wengine bwana mabashite mabashite
 
Daaaa.....Utamu kolea kwa kweli....Ahsante lege. Nipo 85
 
Hivi wewe jackass hujishangai ambavo kila mtu anakushangaa wewe???? Khaa watu wengine bwana mabashite mabashite
Achana nae, do not waste your time. Usilumbane na watu. Akikutolea maneno mabaya mwambie asante..just that!!
 
Imenisindikiza leo kutoka mlandizi hadi mbezi dah lege back to ze line this night plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…