QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

utamu unakolea.....ndio mwishomwisho nini...??...
maana utamu ukizidi ndio unaishia.....[emoji87] [emoji87] ......
 
Duuuuuh lege ndo imeishia hapo jamani hadi tena SAA 8 usiku. Anyway tutaisubiria tu kaka. Pole na majukumu
 
Jambo limezua jambo huu mchanyato mpaka kuja kujua huyu ni nani na yule ni nani tumuachie mtunzi
 
akhsante lege,

Kwa kuwa wkend bado haijaisha naamini utatujali tena
 
Hofu yangu ni hawa Albetoz kuwa na nguvu za kichawi wasije mgeuza Austin wa kike tu manake mkwara aloufanya Agatha kumfanya raisi kipofu ni noma. Austin nae aje bagamoyo tumpike
 
Hii hadithi ni nzuri mno kwa kweli.kama unaangalia movie vile.asante lege
 
Back
Top Bottom