LEGE ukipata muda we dondosha tu, hata kama ni season nzima..
Mi nashangaa wale wanaotaka kidogokidogo alafu ukitingwa na mambo wanaanza kutuonesha mimeno yao hapa na kurusha mimate.... Tabu tupu
Leo Jumapili, naamini LEGE upo home, so naamini utashusha mzigo wa kutosha tushinde nao tukiburudika. Tunaokuombea usipate kikwazo chochote kitakachosababisha ushindwe kutupia.
Hofu yangu ni hawa Albetoz kuwa na nguvu za kichawi wasije mgeuza Austin wa kike tu manake mkwara aloufanya Agatha kumfanya raisi kipofu ni noma. Austin nae aje bagamoyo tumpike