Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila mimi huyu gwajima namuona ni tatzo sana.[/green]Lege,
duh! mambo yawageni mzoeeni tu!ila mimi huyu gwajima namuona ni tatzo sana.[/green]
kuumizana macho tu sijui n ushamba wangu sipendi hivyoila mimi huyu gwajima namuona ni tatzo sana.[/green]
Ni kweli nizoeeni ndugu mi mgeni.duh! mambo yawageni mzoeeni tu!
nafikiri ungekuwa mod ungempiga ban plus hasira za kuikosa hii story na mauzauza mengine sijui ungempiga wiki ngapi!!kuumizana macho tu sijui n ushamba wangu sipendi hivyo
ningempiga ya miezi kadhaa tuna hasira za lege anatuletea marangi ranginafikiri ungekuwa mod ungempiga ban plus hasira za kuikosa hii story na mauzauza mengine sijui ungempiga wiki ngapi!!
LEGE unazingua sana, you know what am saynkaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo makubwa sana.
ALBERTOS kundi hatari linalotaka kuitawala dunia limeingia pia tanzania